Kozi ninazoweza kusomea kwa CBG

Kozi ninazoweza kusomea kwa CBG

fijohnas

Member
Joined
Mar 20, 2018
Posts
23
Reaction score
5
Habari wakuu,nina mdogo wangu anahitimu form six mwaka huu kwa combination ya CBG,tunaimani kuwa atafaulu,ni kozi gani anazoweza kusoma kwa ngazi ya chuo kwa masomo yake hayo? Ahsanteni
 
Kwanza nakupa hongera kwa kuwa na imani kuwa mdogo wako atafaulu maana hilo ni jambo jema.
 
Ardhi anaweza kozi zote kusomea,but awe ana C/D ya math o~level au S ya bam a~level,pia nursing,verternary sua,edu na aquatic science na nyingi ziko sua
 
MUACHE ACHAGUE MWENYEWE ANACHOPENDA UNAJUA KUFANYA KAZI UKIWA NA UHURU NI RAHA SANA
 
Akafanye bachelor ya nursing.atakuwa mkunga.ajira mpaka kufa.kama yete ni me pia atakuwa na fursa ya kuziona tupu za wanawake bila usumbufu
 
Aisee nimeona pepa LA mwaka huu ni gumu sana mwombee sana mdogo wako
 
Akafanye bachelor ya nursing.atakuwa mkunga.ajira mpaka kufa.kama yete ni me pia atakuwa na fursa ya kuziona tupu za wanawake bila usumbufu
Nashukuru,akiziona kama sehemu ya kutimiza majukumu yake kwa mjibu wa profession yake hakuna tatizo ndg,vinginevyo atakuwa anakosea.
 
Sawa ndg,ila yeye ndo kaniomba nimshauri kuhusu kozi zenye uhitaji mkubwa kwa sasa.
HAKUNA HIHITAJI MZEE LEO HII AKIANZA CHUO MPAKA KUMALIZA ANAKUPA ALICHOSOMEA HAKIPO SOKONI AU WAPO WENGI, NAKUMBUKA MIAKA ILE BENKI ZINAINGIA WENGI WALISOMA MAMBO YA FINANCE, BANKING NK LAKINI BAADAE NGOMA IKAWA TOFAUTI SO APAMBANE TU
 
Ardhi anaweza kozi zote kusomea,but awe ana C/D ya math o~level au S ya bam a~level,pia nursing,verternary sua,edu na aquatic science na nyingi ziko sua
Ina maana hata CIVIL ENGINEERING ya ardhi anaweza kusoma? Au ulimaanisha ninj uliposema kozi zote za ardhi anaweza kusomea?!
 
HAKUNA HIHITAJI MZEE LEO HII AKIANZA CHUO MPAKA KUMALIZA ANAKUPA ALICHOSOMEA HAKIPO SOKONI AU WAPO WENGI, NAKUMBUKA MIAKA ILE BENKI ZINAINGIA WENGI WALISOMA MAMBO YA FINANCE, BANKING NK LAKINI BAADAE NGOMA IKAWA TOFAUTI SO APAMBANE TU
Hilo nalo neno mkuu,nimekuelewa vizuri
 
Back
Top Bottom