Kozi ipi ni Bora

Yohimbine

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2019
Posts
966
Reaction score
2,020
Wakuu husika na kichwa cha habari hapo juu nilikua nauliza ni Kozi ipi bora kati ya Pharmacy na Radiology interms of ajira pamoja na kujiajiri na Muda wa kusoma naongelea kwa Ngazi ya diploma na degree....
Naomba kuwasilisha
 
Radiology ipo ngazi ya Uzamili(Master degree)

Ngazi ya Diploma kuna kozi ya Diagnostic Radiography(kama ulikuwa na maana hii), ni ya muda wa miaka 3 tu.

Ngazi ya Degree, hiyo kozi inaitwa Radiation Therapy Technology, ya miaka 3 tu.

Pharmacy: Diploma ni miaka 3 na Degree ni miaka 4.

Kwa kigezo cha kujiajiri, Pharmacy ni bora zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…