owk mkuu,but wanasema kuwa civil eng anamtegemea archtect ktk field zake
so unasema civil is the best compared to archtecture meib kwa kucompare v2 gan?
habar jaman,mi ni muhtmu wa kidato cha 6 2014,bado naendelea kutafuta ushaur wa ktu cha kusoma chuo kikuu,sasa nina koz mbili ambazo kwa upande wangu nashindwa kuzpima uzito kat ya archtecture na civil naomba msaada wenu bla kujal unasoma kozi gan il nifanye maamuz sahihi
Civil Engineer, ni moja ya course ambayo ipo wide in application than Archtecture . A well and competent civil engineer. Anaweza fanya kazi katika Building construction, Highway and Transportation Engineering , Water and Hydraulic transportation and any other Construction activities taking place in our country. Contrary to Archtecture who mainly has to deal with Building drawing... ( Unaweza ni pm kwa maelezo zaidi)
so unasema civil is the best compared to archtecture meib kwa kucompare v2 gan?
Umeongea kweli tupu. Kwenye majengo, Architect ni team leader, ila kwenye miradi ya Civil( barabara, mabwawa, visima, weirs, acqufiers, bridges, irrigation schemes, retaining structures si Architect wala Quantity Surveyor anahusika professionally, Civil unakuwa na wide spectrum
ila civil hawezi kuspecializ vyte kuanzia mwaka wa nne civil ana specialize kimoja si vyote na kimsingi wengi wanaingi building construction wanakutana na architect na qs bcoz hzo field nyingn wanakosa capital ya kuanzisha firm zao na pia serikali upenda kuwatumia wageni zaid kweny miradi hii ambyo kimsingi tunasem ni publuc goods
Nakushauri soma Civil Engineering. Na, kama utaniamini basi chuo bora zaidi kwa course hiyo kwa miaka ya sasa ni DIT; ninachokueleza ni ukweli, na nimekueleza hivyo ijapokuwa mimi sijasoma DIT. Kama utaongozwa na ushabiki wa watu humu jukwaani, basi nenda UDSM-CoET; ila kuna siku utajilaumu na utanikumbuka tu. Ila kumbuka kuwa unaweza kuwa mahali bora na bado ukawa wa hovyo kutokana na kutojituma kwako.

Mh,so UDSM civil yake mbovu au?fanya research mkuu,but mimi macivil engineer wengi tena wanafanya kazi nzur wametokea hapo.so wewe ukiwa unapaponda toa na sababu ili tujue na sisi
dogo chukua architecture hutajutia achana civil japo nayo iko vizuri lakn architect ndio analipwa vizuri compared to civil(structural Engeneer) analipwa 6% whle Qs and structural Engeneer 3% ya cost zote za ujenzi cz yeye ndio chairperson wa construction consultant team
uzuri wa civil upo kwenye sehemu moja kwamba anaweza kuspecialize kweny transportation and water projects vitu ambavyo architect hawez
pia Engeneer anaweza kudesign simple residential house ambayo ni kazi ya architect kimsingi hapa haulali njaa unakula vi laki mbili vya harak
kwhy dogo me nakushauri soma architecture ukizingatia haina competition na ni wachache architect akipiga deal moja anaweza asifanye kazi nyingn hata kwa miaka kumi anajilia pesa zake
Umeongea kweli tupu. Kwenye majengo, Architect ni team leader, ila kwenye miradi ya Civil( barabara, mabwawa, visima, weirs, acqufiers, bridges, irrigation schemes, retaining structures si Architect wala Quantity Surveyor anahusika professionally, Civil unakuwa na wide spectrum
QS yupo uko kote incase kama ujui