lwebugisa
Member
- Dec 26, 2010
- 10
- 2
Naombeni kujua utaratibu na hatua za kuchukua pale chuo kinapodaili kozi ambazo hazipo au hazijasajiliwa katika chuo hicho. Mf: umedailiwa kozi fulani katika chuo fulani alafu inafika mwisho wa masomo jina lako halirudi katika wale watakaofanya final exams na wakati una sifa ila chuo hakijasajiliwa na hiyo coz japo ipo au ilikuwepo ila imefutwa. Naombeni mwongozo.