malamsha11
Member
- Apr 1, 2017
- 32
- 26
Nina soma HKL (Advanced level). Naomba ushauri kuhusu kozi ya kusomea huko chuo kikuu..
Mimi binafsi nilikomaa na masomo ya science na kilimo but nikaangukia hkl ambapo comb ilibalance na sikuwa na malengo yoyote na hklKwani wewe uliplan kuja kuwa nani hapo baadae
BASI MKUU UNASOMEA KITU USICHOPENDA...KUWA MAKINIMimi binafsi nilikomaa na masomo ya science na kilimo but nikaangukia hkl ambapo comb ilibalance na sikuwa na malengo yoyote na hkl