Kova ameyasema ayo Tbc muda mfupi uliopota akizungumzia ujio wa mnyamwezi Obama..
pia ametoa tahadhari kama utapaki gari lako pembeni ya barabara litachukuliwa kama chuma chakavu na usimlaumu mtu kwa hilo kwani kesho Posta magari hayatatembea watu watatembea kwa miguu tu.." ata ukinuna utaonekana na utaonekana mpaka Marekani kwani kuna mitambo maalumu " alisikika Kova ambaye alivaa full gwanda kuonyesha msisitizo..
Kwaio hii ni tahadhari kwa ndugu zangu msije mpa shavu Kova kuonekana CNN kwani anaonyesha kapania sana..

kova yeye nani bhana???Kova ameyasema ayo Tbc muda mfupi uliopota akizungumzia ujio wa mnyamwezi Obama..
pia ametoa tahadhari kama utapaki gari lako pembeni ya barabara litachukuliwa kama chuma chakavu na usimlaumu mtu kwa hilo kwani kesho Posta magari hayatatembea watu watatembea kwa miguu tu.." ata ukinuna utaonekana na utaonekana mpaka Marekani kwani kuna mitambo maalumu " alisikika Kova ambaye alivaa full gwanda kuonyesha msisitizo..
Kwaio hii ni tahadhari kwa ndugu zangu msije mpa shavu Kova kuonekana CNN kwani anaonyesha kapania sana..
kova yeye nani bhana???
Eti hata ukinuna utaonekana mpaka Marekani!
Ha ha ha ha ha!!
mimi nimelala kabisa ofisini mpaka jumatano ndio narudi nyumbaniiiii....
Obama kaleta neema kwa nyumba ndogozzzzzzzz...
yeye na mkuu wake wa mkoa ndio wamechujwa wasionane na Obama
kwa hiyo magari yanaruhusiwa kuingia na kupark? usije ukatuponza mkuu.
hivi huyo 'Suleiman Kova wa Washington DC' huwa naye nafanyaga makeke hayo JK akienda huko!!???
mimi au baba yako....akili za kijinga hufikiri mambo ya kijinga 24 hrs