Kova: Kama haujiamini, kesho usisogee mjini

Kova: Kama haujiamini, kesho usisogee mjini

matumbo

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2011
Posts
7,224
Reaction score
3,958
Kova ameyasema ayo Tbc muda mfupi uliopota akizungumzia ujio wa mnyamwezi Obama..

pia ametoa tahadhari kama utapaki gari lako pembeni ya barabara litachukuliwa kama chuma chakavu na usimlaumu mtu kwa hilo kwani kesho Posta magari hayatatembea watu watatembea kwa miguu tu.." ata ukinuna utaonekana na utaonekana mpaka Marekani kwani kuna mitambo maalumu " alisikika Kova ambaye alivaa full gwanda kuonyesha msisitizo..

Kwaio hii ni tahadhari kwa ndugu zangu msije mpa shavu Kova kuonekana CNN kwani anaonyesha kapania sana..
 
mimi nimelala kabisa ofisini mpaka jumatano ndio narudi nyumbaniiiii....
<br>
<br>
Mkuu umenichekesha na kunifurahisha kweli yaani umeamua kulala ofisini hadi j5! Pole sana ila naona uko sahihi kwa maana ya kwamba kazi zako zisije zikakwama kutokana na usumbufu utakaokuwepo pindi huyu mgeni wa kijaluo atakapolishika jiji kwa siku 2 atakazokuwepo. Pia kova keshatoa taarifa kuwa tuwe wavumilivu kwa usumbufu mkubwa usiokuwa wa kawaida utakaojitokeza kwa ujio wa huyu mgeni wetu.
 
Sijawahi na sitawahi kuja kujivunia kuwa mtanzania coz we are seen like garbage in this world lakini unakuja kusikia kiongozi wako anakwambia tuna heshima kubwa duniani shit
 
Kova
ameyasema ayo Tbc muda
mfupi uliopota akizungumzia ujio wa mnyamwezi Obama..

pia ametoa tahadhari kama utapaki gari lako pembeni ya barabara
litachukuliwa kama chuma chakavu na usimlaumu mtu kwa hilo kwani kesho
Posta magari hayatatembea watu watatembea kwa miguu tu.." ata ukinuna
utaonekana na utaonekana mpaka Marekani kwani kuna mitambo maalumu "
alisikika Kova ambaye alivaa full gwanda kuonyesha msisitizo..

Kwaio hii ni tahadhari kwa ndugu zangu msije mpa shavu Kova kuonekana
CNN kwani anaonyesha kapania sana..
Du! Typical Njagu with typical mikwara .. lakini nimipenda sana. key words ...
1. CHUMA CHAKAVU 2. KUNUNA 3. WATU KUTEMBEA SIO GARI KUTEMBEA..

Ubarikiwe Kamanda.
 
mimi nimelala kabisa ofisini mpaka jumatano ndio narudi nyumbaniiiii....

Wee, tena uishie hapo hapo tusijeaibishana mbele ya watu. .. Nasema ... mimi naelekea nyumbani nataka nikukute umefika ... vinginevyo mh! nasema visingizio na obama .... !
 
Eti hata ukinuna utaonekana mpaka Marekani!

Ha ha ha ha ha!!
 
Wahenda walisema....ukitaka kujua ujinga wa mtu, mpe nafasi aongeeeeeeeeee......kove unanifurahisha saaaan
 
Dah huyu obama mpaka aondoke tutakomaje

"To know the enemy is half the victory"
 
Back
Top Bottom