Samia anakubalika Sana na wasomi na graduates pia vijana maana sasa hivi ajira bwerere kitu ambacho JPM alikipiga marufuku. Alitaka wote wawe machinga despite education level
Nchi ina watu ajabu sana hii yaani maisha ya dhiki na njaa aliyotupitisha yule mwehu bado kuna wapuuzi wanaona ilikuwa sawa. Alikaa miaka sita bila kuajiri, kupandisha madaraja wala kuongeza mishahara bora Mungu alimuwahi
Maendeleo yana maumivu makubwa, ukisikia vilio hivyo, basi jua kuna njia sahihi inapitiwa na jamii. Kiongozi anayetaka kuplease kila mtu, jua hakuna kitu hapo.
Maendeleo yana maumivu makubwa, ukisikia vilio hivyo, basi jua kuna njia sahihi inapitiwa na jamii. Kiongozi anayetaka kuplease kila mtu, jua hakuna kitu hapo.