Chadema haina ajenda nzuri na vyama vinavyounda ukawa, nakumbuka barua ya siri iliyovuja ikisainiwa na Mwalimu, na hamkuwahi kuikanusha, mnachofanya sasa kina maudhui ya ile barua, mnataka mmoja wa vyama vya vya upinzani lakini umoja huo uwe wa kuwajenga nyinyi chadema huku ukiviangamiza vyama vingine, wakati wa uchaguzi mliwasumbua sana CUF kwenye majimbo yalioonekana wana nguvu mkatumbukiza wagombea wenu kinyume na makubaliano mkiwa na lengo moja tu wenzenu washindwe mbaki kuwa wapinzani wakuu, na ata leo mnaendesha operations hizi kivyenu mkiwa na ajenda ya kujiimarisha nyinyi zaidi kuliko wenzenu, Mbatia mmefanikiwa kumfanya mbuzi wa kafara lakini CUF sijui itakuwaje.