Kosa la nani?

Muda wote huo waliokuwa wamepark haya magari kwanni wasingerekebisha haya yote?
 
Sorry kwa kwenda nje ya mada, hilo gari mbele lenye namba T 536 AKS inawezekanaje gari mpya ya model hiyo ikawa na namba za zamani? maana nishaona mengi sana aina hizo, au ndo mashushu.
 
Sorry kwa kwenda nje ya mada, hilo gari mbele lenye namba T 536 AKS inawezekanaje gari mpya ya model hiyo ikawa na namba za zamani? maana nishaona mengi sana aina hizo, au ndo mashushu.
Angalia hata njia aliyopita. Very rare kwa magari ya private kupita njia ya mabasi yaendayo kasi . Hizo number plates huvalishwa kwenye magari yetu ya STL, SU, NK yanapotumika nje ya utaratibu
 
Muda wote huo waliokuwa wamepark haya magari kwanni wasingerekebisha haya yote?
Warekebishe nini? Hayo mabasi yana milango kulia na kushoto. Kulia anapotokea hhuyo binti kuna milango iko juu kulingana na platform za vituo vyake katikati ya barabara. Kushoto kuna milango ya kawaida in case likitumia barabara za kawaida. Fanyeni uchunguzi kidogo tu kabla ya kutoa maoni.
 
Mkuu wengi humu hudandia kuchangia bila kujasusi na pia wengine wapo nje ya Dar huwa wanakurupuka kutaka kuchangia wanaitwa "Much Know"
 
Huyo dada ni mwandishi wa habari na hapo wako na kiongozi mkubwa wakikagua barabara, kosa ni lake kwa kushukia upande hup wakati kuna upande angeshuka vizuri tuu...
Angekuwa abiria tuu isingekuwa shida sana lakini huyu ni mwandishi angekuwa je?
 
kwahiyo anavyoshuka huyo dada wwe unaona ni sawa
 
kwahiyo anavyoshuka huyo dada wwe unaona ni sawa
Sio kosa la milango ya bus kama unavyotaka tuamini kiasi cha kuhoji kwanini hawakurekebisha siku zote hizo. Ni kosa la dereva au huyo dada kutokushuka kwenye designated platform.
 
Huyo dada ni mwandishi wa habari na hapo wako na kiongozi mkubwa wakikagua barabara, kosa ni lake kwa kushukia upande hup wakati kuna upande angeshuka vizuri tuu...
Angekuwa abiria tuu isingekuwa shida sana lakini huyu ni mwandishi angekuwa je?
mikatabafeki jibu lako lingine hili hapa.
 
mimi nimependa mlegezo wa dada wa mbele yake ......duuu! kweli kila kitu wanawake wanataka usawa.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…