Msengapavi
JF-Expert Member
- Oct 23, 2008
- 8,919
- 7,770
Kebwe mkoa ulimshinda mapema muda wote kalewa wamemvumilia sn mbona naona dogo wa Hai Dc ole sebaya ananukia teuzi
Mzee wa kazi na Wazee wa gambe ni kama Chui na Paka
Dah, Kebwe alimrithi yule aliyetimuliwa daktari wa kilimo. Naye Daktari wa binadamu ametoswa! Moro noma.
Naomba mwenye kujua Kebwe amekosa nini anijuze.
Sio hilo, habari za ndani kabisa ni kuwa Kabwe ameshindwa kudhibiti upinzani uliopo ndani ya mkoa na unakuwa kwa kasi.
Ndio maana wamepelekewa mwenyekiti wa ccm kutoka huko Arusha.
Lijualikali, Profesa J na yule mama wa Mlimba pamoja na kuzibitiwa na kuwekwa ndani, purukushani za polisi nk lakini inakuwa kama wamemwagiwa petrol kuchanja mbuga.
Kweli mkuu,alikuwa mpiga vyombo muda wote vyombo kichwani.Kebwe mkoa ulimshinda mapema muda wote kalewa wamemvumilia sn mbona naona dogo wa Hai Dc ole sebaya ananukia teuzi
Naomba mwenye kujua Kebwe amekosa nini anijuze.
Pamoja na udhaifu wake, vyombo vingine kama PCCB, Polisi Usalama havikumsaidia na kumshauri katika kadhia zote hizo? Yeye kama mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na usalama ya Mkoa alipaswa kujua vitu vyote na madudu ya watendaji wake wa chini kupitia vyombo hivyo.Alafu utaniudhi sasa hv, kuuliza vitu huku una majibu ya wazi na kila mtu anajua..
1: Wilaya za Moro karibu zote rushwa ilitawala, wizi wa hela
2: Usimamizi mbovu wa viongozi wa chini yake, DC na Mkurugenzi wanagombana, miradi haifanyiki sbb kila mmoja na contractor wake mkononi, RC anang'aa macho tu na pombe full time
3: Kuna mapolisi walichukua rushwa sana kwa kampuni ya Tumbuka pale Moro na kuwanyanyasa wakuu wa kampuni ya tumbaku na Mkuu wa mkoa yuko tu..
4: Moto umechoma watu wengi Moro mwezi uliopita, sbb ya uzembe wa maaskari, maskari wako chini ya RC kama Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na Usalama, ingefaa polisi wawe aggressive baada ya ajali watimue watu, labda wangekufa wachache sana..
All ni all, Kebwe pombe na uzembe ndio vimemponza, very lazy.
Atakuwa amesoma urusi, labda atarudi kutibu wagojwaKebwe mkoa ulimshinda mapema muda wote kalewa wamemvumilia sn mbona naona dogo wa Hai Dc ole sebaya ananukia teuzi
Naomba mwenye kujua Kebwe amekosa nini anijuze.
Mimi sio zembe wivu tuu umewajaaUzembe
Naunga mkono hoja.Pamoja na udhaifu wake, vyombo vingine kama PCCB, Polisi Usalama havikumsaidia na kumshauri katika kadhia zote hizo? Yeye kama mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na usalama ya Mkoa alipaswa kujua vitu vyote na madudu ya watendaji wake wa chini kupitia vyombo hivyo.
Hili si Moro tu, hata PM akienda mkoa mwingine madudu yapo tele mikoani. Watendaji wengi wanafanya kazi kwa niadhamu ya woga na ndo maana ukiamua kuwachunguza unagundua madudu mengi sana
Dah! Inamaana Moro imekula kotekote, Rc na Ras wake hesabia?na hao RAs waliotoka wizarani hadi katibu tawala hiyo imekaaje ?