Kosa la kampeni za UKAWA

Kosa la kampeni za UKAWA

Sasa kwa taarifa yako hilo hilo fisadi ndio wananchi wanamtaka na nchi anaichukua kwa nguvu za wananchi sio nguvu yako. Na Ikulu ni kwa yule mshindi. Miaka 50 mnang'ng'ania Ikulu ni ya baba yenu Lowassa ameshashinda.
Hii nguvu aliyoshindwa kuitumia ndani ya ccm ina athari gani nje ya ccm au ndani ya Ukawa iliyogawanyika?
 
CHADEMA watashindwa vibaya na hawataamini. Nikweli wanatumia nguvu nyingi sana kum promote Lowassa mpka wanawasahau wabunge wao na madiwani.yani watashindwa ktk urais na watashanga kupoteza majimbo mengi tofauti na mwaka 2010.
wengi tumeona hiyo. wanajibaragua kama size ya ccm wakati sio chochote. oct 25 ndio wajue hiyo chadema mwisho machame kura zote ni kwa mtu muadilifu mchapa kazi magufuli.
 
Ukawa wamefanya kosa la kampeni kwa kumtegemea mtu mmoja tu...yaani kuuza sura ya lowasa.

Kosa hili litawagharimu sana wagombea ubunge na udiwani.

Lowassa ameenda sehemu chache na kwa bahati mbaya hajafikia uwezo wa Slaa wa kuwanadi wabunge na madiwani.

Kampeni za Ukawa na za ujumla sana huku wakisahau kura zinapigwa locally...

Hii ina maana influence kwa local community bado ipo kwa ccm na huu ndio ushindi wa CCM.
12038093_528849780603880_4421614170556598052_n.jpg
 
Kitakachofanyika mwaka huu kitaonekana kama miujiza lakini kumbe ni hesabu ndogo sanaa. Ccm kura zao mpka sasa zinaonekana. Ccm mpka sasa ushindi wao unaonekana kwann. Kwnza tujue hili kumekuwepo na uhamasishaji mkubwa wanaUKAWA kutohudhuria mikutano ya ccm. Hii inamaana kuwa ktk mikutano ya chadema wanaohudhuria ni pamoja na wanaccm kwsbabu chama chao hakikuwazuia kuhudhuria. Pia wapo washangaaji wanaokwenda kumshangaa huyu waziri mkuu mstaafu aliyehama chama wanakwenda kumshangaa huyu mtu aliyemwaga Dr Slaa n.k. ikumbukwe hapo hata wanaccm ambao watapigia kura ccm wanakuwepo, labda ndio sababu inaonekana wana watu wengi. Lakin mikutano ya ccm ni wanaccm wenyewe wachache sana ni ukawa na pale ndipo tunapopata wazalendo wa chama na ambao ndo wanakura halali. So ukawa msijidanganye na wingi wa watu kuwa ndo ushindi. Bado hamjajipanga. Kubalini matokeo tar 25
Ulifuatilia ule mkutano wa Magufuli Kule Songea na Morogoro? Kwani Magufuli aliuliza wananchi watampa nani kura ikifika tarehe 25 Oct. Uwanja mzima ulijibu Lowaaaasaaaaa!!! Je kwa matukio hayo hicho ulichokiandika unauhakika nacho? Au umeandika kishabiki tu.
 
Back
Top Bottom