minded tips
JF-Expert Member
- Apr 29, 2018
- 507
- 876
Nimeongea kwa uchungu sana juu ya tukio lililompata jilani yangu yani watoto wannne wote kweli...daahtayari uko ndugu zangu
Maisha gani ya kipuuzi haya..?Poleni ndo maisha
Amesitiriwa huyo hana uwezo wa kuzalishaNimeongea kwa uchungu sana juu ya tukio lililompata jilani yangu yani watoto wannne wote kweli...daah
Mapenzi ni upuuziMaisha gani ya kipuuzi haya..?
Mi nawakubali sana wanawake maana mchango wako ni mkubwa sana ila matendo yao daah acheni tuMapenzi ni upuuzi
Kwani matendo ya wanaume yapoje?Mi nawakubali sana wanawake maana mchango wako ni mkubwa sana ila matendo yao daah acheni tu
acha maneno uncle lea mimba lea mtoto hauwezi kujua mtoto anaweza kuja diamond platnumz huyo baadae utakula mafao yako za uzeen ukiwa madaleWanawake kiukweli uwepo wenu una thamani na umuhimu mkubwa sana katika hii Dunia, ila kitendo cha kubebeshwa mimba na mwanaume mwingine halafu ukaenda kumpa mtoto mwanaume mwingine hii ni mbaya kiasi wanaume inawaumiza sana na ndio maana wanaume mwingine baada ya kugundua waliishia kuua mtoto au kuua mwanamke. Acheni tamaa kama aliyekupa mimba hana uwezo wa kuihudumia mbane huyo huyo sio umpe mimba mwanaume mwingine ili tu akupatie huduma wakati mimba sio yake kuweni makini kuna watu makatili kwenye huu uso wa dunia shetani mwenyewe anasubiri.
Tuseme umeoa halafu ikagundulika mkeo hana uwezo wa kupata watoto. Utafanyaje?Mi nawakubali sana wanawake maana mchango wako ni mkubwa sana ila matendo yao daah acheni tu
Watoto huwafanana wazazi au ndugu wengine ndani ya familia au ukoo.......ukipigwa umetaka mwenyewe.Nimeongea kwa uchungu sana juu ya tukio lililompata jilani yangu yani watoto wannne wote kweli...daah
Hili nalo nenoMapenzi ni upuuzi