Kosa kubwa walilofanya Nyerere, Kaunda, Mugabe, Nkrumah & Co. !

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,786
Ni kulia lia na kujifanya wao (sisi) ni victim, hiyo dhambi ya victim mentality imeendelea na tumerithishwa mpaka leo.

Nyerere & Co. walimuona Muzungu ni adui na walitufundisha hivyo, walimuona Muzungu ana jukumu la kutusaidia kwa sababu alitutawala, lkn walisahau Muzungu alitawala Dunia nzima na siyo sisi tu, kwanza sisi ndo wa mwisho kutawaliwa na hatukutawaliwa kwa muda mrefu kama wengine.
Uingereza ilikaa India zaidi ya miaka 150 hata British empire ni shauri ya India, China - Hong Kong wameaondoka juzi kati tu.

Laana hii imepelekea sisi Waafrika kumuona Mzungu kama siyo equal wetu na kwamba ana deni la kutulipa.

Ni kama kijana anayemlaumu Baba yake kwa kushindwa kwake maishani, kwamba hakumsaidia ndo maana anashindwa.

Sasa tuvunje hii kete ya laana walioturithisha kizazi cha kwanza.

Tuanze kumuona Muzungu kama competitor wetu na siyo baba tunayemlaumu kwa kila kitu maishani mwetu, ...
 
Vijana wa Magu mnajitutumua, wazungu wamestaarabika kwanza ndo wakaendelea, sasa nyie mnawaza kuua, kutesa, kuteka, kubambika kesi hewa, kuharibu vitega uchumi vya akina mbowe na ndugu zenu, mtawezaje kuendelea na Ku compete na mzungu??

Mbowe mwenyewe ana victim mentality!
 
Moja ya point nzuri sana uliyowaza na kuandika mwaka huu ni hii..

Naomba nikwambie jambo moja muhimu sana, SIKU UKWELI UTAKAPOSEMWA HADHARANI NA WOTE TUKAKILI NI UKWELI TUTAKUWA TUMEJINASUA KWENYE MINYORORO YA UNAFIKI, TUKIENDELEA KUISHI KWENYE UNAFIKI TULIORITHI PASIPO KUJIULIZA MASWALI MAZITO TUTAENDELEA KUISHI HIVI HIVI TUNAVYOISHI..

Eti leo hii Mugabe tunamuita shujaa, Nafikiri hata WaCONGO DRC nao wamuite MOBUTU shujaa.. Shujaa kashindwa kutibiwa kwenye hospitali za nchi aliyoitawala for over 30yrs na kwenda kutibiwa kwa weupe aliowaita wanyonyaji..
 
Yaani kweli vijana wa UVCCM kama wewe Barbarossa, Makonda, Chalamila, Happi na wenginge mnajihisi kabisa mnaweza kushindana na vijana wa Marekani na Ulaya kama Mark Zuckerberg, Elon Musk na Sebastian Kurz? Kwa akili zipi hizo ??? Hizihizi za kulamba watawala miguu ili kushibisha matumbo yenu??? Give me a break!!!

Siku mtakayoacha umalaya wa kisiasa nadhani dunia nzima itawakimbia, lakini kwa hizi porojo sidhani kama mtabadilisha kitu....
 
You better stop your stupidity, wewe binafsi umefanya nini? Ulitegemea Nyerere aje akuokoe? Utajiokoa wewe mwenyewe binafsi.
 
Yaani kweli vijana wa UVCCM kama wewe Barbarossa, Makonda, Chalamila, Happi na wenginge mnajihisi kabisa mnaweza kushindana na vijana wa Marekani na Ulaya kama Mark Zuckerberg, Elon Musk na Sebastian Kurz ??? Kwa akili zipi hizo ??? Hizihizi za kulamba watawala miguu ili kushibisha matumbo yenu??? Give me a break!!!

Siku mtakayoacha umalaya wa kisiasa nadhani dunia nzima itawakimbia, lakini kwa hizi porojo sidhani kama mtabadilisha kitu....

Umekwenda mbali sana, sikumaanisha hivyo labda ni kosa langu nimeshindwa kuelezea vizuri, nilichomaanisha tukikaa mezani na Muzungu tuongee biashara, tuangalie tutanufaika nini na kilichopo mezani kama hatunufaiki tuweze kusema hapana, kilichopo ni Muzungu anakuja na anachotaka na sisi kumuona kama kaja kutusaidia matokeo yake tunaanza kulia sijui ukoloni mamboleo, mbona wengine waliotawaliwa hawalii lii ovyo kama sisi?
 
Moja ya point nzuri sana uliyowaza na kuandika mwaka huu ni hii..

Naomba nikwambie jambo moja muhimu sana, SIKU UKWELI UTAKAPOSEMWA HADHARANI NA WOTE TUKAKILI NI UKWELI TUTAKUWA TUMEJINASUA KWENYE MINYORORO YA UNAFIKI, TUKIENDELEA KUISHI KWENYE UNAFIKI TULIORITHI PASIPO KUJIULIZA MASWALI MAZITO TUTAENDELEA KUISHI HIVI HIVI TUNAVYOISHI..

Eti leo hii Mugabe tunamuita shujaa, Nafikiri hata WaCONGO DRC nao wamuite MOBUTU shujaa.. Shujaa kashindwa kutibiwa kwenye hospitali za nchi aliyoitawala for over 30yrs na kwenda kutibiwa kwa weupe aliowaita wanyonyaji..
Kinachochekesha ni kwamba huyu anayesema kwamba tuna Victim Mindset ndiye anakuwa mtu wa kwanza kuwatetea haohao wanaolivuruga taifa kisa vijipesa kidogo: Kama marehemu Mtikila alivyowahi kusema kwamba Watanzania wengi wanaumwa Epidomia au Unyani, ambapi wako radhi kuuza utu wao kisa vitu. Ndivyo alivyo huyu mtoa mada...
 
Umekwenda mbali sana, sikumaanisha hivyo labda ni kosa langu nimeshindwa kuelezea vizuri, nilichomaanisha tukikaa mezani na Muzungu tuongee biashara, tuangalie tutanufaika nini na kilichopo mezani kama hatunufaiki tuweze kusema hapana, kilichopo ni Muzungu anakuja na anachotaka na sisi kumuona kama kaja kutusaidia matokeo yake tunaanza kulia sijui ukoloni mamboleo, mbona wengine waliotawaliwa hawalii lii ovyo kama sisi?

Umeeleweka vizuri tu: Lakini ukweli ni kwamba hamuwezi kuwa sawa na wazungu kwasababu hamjajipanga ipasavyo ili kukabiliana nao: Jipangeni kwanza, acheni unafiki wa kuchumia matumbo yenu na wekeni watu wenye uwezo kwenye nafasi za madaraka kisha haya mengine yatakuja tu yenyewe.

Viongozi wa kesho ni watu aina ya Kigwangala, Chalamila, Makonda na Hapi unategemea utakaa meza moja hata na Wakenya halafu ukaibuka mshindi ???
 
Huwezi kuwa na uwezo wa kunegotiate deal kama wewe huwezi kugeuza hicho unachonegotiate kiwe business.

Huwezi kunegotiate dhahabu iliyoko ardhini wakati huwezi kuichimba na hata ukiichimba huwezi kuiwezi kuiprocess na ukaifanyia kazi hiyo end product.
Huwezi kinegotiate gas na mafuta uliyonayo ardhini wakati huwezi kuyachimba na kuyatumia..

Mwenye uwezo wa kuyachimba na kuyatumia lazima awe na bargain power maana anajua hata akikuachia huna cha kufanyia na pia anauwezo wa kuyachimba kwingine duniani lakini pia anaendelea na researches za kutafuta mbadala..

La msingi ni kuitafuta elimu bora na kuitumia, kuwa na dhamira ya dhati ya kila tukifanyacho kwa manufaa ya wengi, kuijenga jamii yenye kuamini kwenye kazi na sio maneno maneno na unafiki..
 
Yaani kweli vijana wa UVCCM kama wewe Barbarossa, Makonda, Chalamila, Happi na wenginge mnajihisi kabisa mnaweza kushindana na vijana wa Marekani na Ulaya kama Mark Zuckerberg, Elon Musk na Sebastian Kurz ??? Kwa akili zipi hizo ??? Hizihizi za kulamba watawala miguu ili kushibisha matumbo yenu??? Give me a break!!!

Siku mtakayoacha umalaya wa kisiasa nadhani dunia nzima itawakimbia, lakini kwa hizi porojo sidhani kama mtabadilisha kitu....
Nailled it
 
Na wewe una tofauti gani za kuwalaumu marehemu kwa hali yako ya sasa ?

Kama hujui shida waliyopata watu wa kipindi hicho nenda kasome yaliyowakuta kina Thomas Sankara na Patrice Lumumba among the few....
 
Umeeleweka vizuri tu: Lakini ukweli ni kwamba hamuwezi kuwa sawa na wazungu kwasababu hamjajipanga ipasavyo ili kukabiliana nao: Jipangeni kwanza, acheni unafiki wa kuchumia matumbo yenu na wekeni watu wenye uwezo kwenye nafasi za madaraka kisha haya mengine yatakuja tu yenyewe.

Viongozi wa kesho ni watu aina ya Kigwangala, Chalamila, Makonda na Hapi unategemea utakaa meza moja hata na Wakenya halafu ukaibuka mshindi ???

Unarudi pale pale hao akina Chalamila mimi wananihusu nini kuliko wanavyokuhusu wewe?
 
Umeongea Ukweli Ukitaka Kujua Mtu Kutoka Africa Akienda Ulaya Ata Akiwa Anatembea Mtaani Ajiamini (hana Comfidence)

Lakini Mzungu Akija Bongo Anatembea Anajiamini Kama Vile Yupo Kwake.

Kituko Wazungu Wakija Uku Watu Weusi Wanawashangaa Lakini Mtu Mweusi Akienda Ulaya Hakuna Mzungu Mwenye Muda Naye Kila Mtu Yupo Busy Na Mambo Yake.

Black Color Kama Vile Tuna Laana Ukichanganya Na Ushamba Ndio Kabisa"
 
Umekwenda mbali sana, sikumaanisha hivyo labda ni kosa langu nimeshindwa kuelezea vizuri, nilichomaanisha tukikaa mezani na Muzungu tuongee biashara, tuangalie tutanufaika nini na kilichopo mezani kama hatunufaiki tuweze kusema hapana, kilichopo ni Muzungu anakuja na anachotaka na sisi kumuona kama kaja kutusaidia matokeo yake tunaanza kulia sijui ukoloni mamboleo, mbona wengine waliotawaliwa hawalii lii ovyo kama sisi?
Hivi hao wa zamani uliwahi wasikia hata siku moja wanawaita wazungu wenye makampuni ya kuiba rasilimali zetu kama Barick "WANAUME WA SHOKA"?
Fuatilia historia utaona jinsi hao wa zamani kwa namna fulani walikuwa jeuri kuliko hata huyu wa awamu hii anayejifanya huku ndani kuwaita "mabeberu" lakini mbele yao anawaita "wanaume" na mara kishika uchumba mara sijui nini!
 
Back
Top Bottom