Kosa kubwa katika uumbaji...

Yaani ujanja wako ndio umeishia hapa!!safari unayo bado.
 
MH......mkuu hii picha ya pili ni manipulation ya webcam au any photo kwa kutumia picasa
 
Unamkosoa MUNGU MUUMBAJI?...haya umba kiumbe chako
 
Unamkosoa MUNGU MUUMBAJI?...haya umba kiumbe chako
 
Unahoji uumbaji, wewe una hakika ya kuwa hivyo ulivyo siku zote?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…