Ukimwacha huyo mwanamke utapata laana. Amua tu kuwa na mke wa pili akuzalie watoto.Mimi najuta kwanini nilioa mapema tena huyu mwanamke ni nuksi. Toka nimeoa kila kitu kinaenda mrama, hapati mtoto mwaka wa 6 sasa, biashara tulianza zimekufa, kiufupi maisha yameharibika na nimepoteza mwelekeo kabisa.
Tumepima afya yake wanasema hormones imbalance, ametumia dawa za kila aina, za hospital na kienyeji ila bado.
Kabla ya kumuoa mimi tayari nilishakuwa na mtoto ambaye kwa sasa ana 10 years. Pia baada ya kuona mambo hayaendi kuna mchepuko nilidate nae, nikapata nae mtoto. So ninao watoto wawili wa mama tofauti. Wazuri wanafanana, ila siipendi hii hali. Bado nataka watoto.
Huyu mke haponi, haoni siku zake sijui nifanye nn, kumuacha nashindwa maana ndiye anayelea mtoto wangu wa kwanza
Najuta, kutoka nashindwa. Nifanyaje?
Chonde mkuu nitumie namba za mkeo nina kitu cha kumsaidia azaeNajuta, kutoka nashindwa. Nifanyaje?
Alikuambukiza ukimwi?Najuta kumgegeda kiongozi mkubwa sana kwenye hii serikali ya awamu ya sita.
Ukiweka udini pembeni we ni Mtu safi mno kiushauri.Kamwe usimuache mke wa ndoa kisa tu hajajaaliwa kuzaa.
Utakuwa umemfanyia ukatili mkubwa sana wa kisaikolojia mkuu.
Unless kama una uthibitisho kwamba hapati mimba kwasababu alichezea usichana wake kwa kutoatoa mimba, kutumia madawa kama p2 nakadhalika.
Pole sana mwenyewe pia nina changamoto kama yako mke wangu ana PCOS hapati periods zake kabisa hata miezi mitatu minne lakini alhamdllah kuna dawa tulitumia nikutumia na vifaa vile vya kujua ovulation sasa hivi kapata ujauzito ngoja nije PM nijue cha kukushauriMimi najuta kwanini nilioa mapema tena huyu mwanamke ni nuksi. Toka nimeoa kila kitu kinaenda mrama, hapati mtoto mwaka wa 6 sasa, biashara tulianza zimekufa, kiufupi maisha yameharibika na nimepoteza mwelekeo kabisa.
Tumepima afya yake wanasema hormones imbalance, ametumia dawa za kila aina, za hospital na kienyeji ila bado.
Kabla ya kumuoa mimi tayari nilishakuwa na mtoto ambaye kwa sasa ana 10 years. Pia baada ya kuona mambo hayaendi kuna mchepuko nilidate nae, nikapata nae mtoto. So ninao watoto wawili wa mama tofauti. Wazuri wanafanana, ila siipendi hii hali. Bado nataka watoto.
Huyu mke haponi, haoni siku zake sijui nifanye nn, kumuacha nashindwa maana ndiye anayelea mtoto wangu wa kwanza
Najuta, kutoka nashindwa. Nifanyaje?
Nitashukuru MNO bosssPole sana mwenyewe pia nina changamoto kama yako mke wangu ana PCOS hapati periods zake kabisa hata miezi mitatu minne lakini alhamdllah kuna dawa tulitumia nikutumia na vifaa vile vya kujua ovulation sasa hivi kapata ujauzito ngoja nije PM nijue cha kukushauri
Simply, wew ni mattercallMimi najuta kwanini nilioa mapema tena huyu mwanamke ni nuksi. Toka nimeoa kila kitu kinaenda mrama, hapati mtoto mwaka wa 6 sasa, biashara tulianza zimekufa, kiufupi maisha yameharibika na nimepoteza mwelekeo kabisa.
Tumepima afya yake wanasema hormones imbalance, ametumia dawa za kila aina, za hospital na kienyeji ila bado.
Kabla ya kumuoa mimi tayari nilishakuwa na mtoto ambaye kwa sasa ana 10 years. Pia baada ya kuona mambo hayaendi kuna mchepuko nilidate nae, nikapata nae mtoto. So ninao watoto wawili wa mama tofauti. Wazuri wanafanana, ila siipendi hii hali. Bado nataka watoto.
Huyu mke haponi, haoni siku zake sijui nifanye nn, kumuacha nashindwa maana ndiye anayelea mtoto wangu wa kwanza
Najuta, kutoka nashindwa. Nifanyaje?
HanaAlikuambukiza ukimwi?
Me nashangaa sijaona kosa la huyo binti mpaka sasaKwa ulipofikia kumuona ni nuksi kwenye maisha yako ni bora ukampa talaka.
Alafu acha kuwabebesha watu wengine lawama katika failures zako ukiwa na mentality hiyo hata kufanikiwa huwezi utaishia kuwa ni mtu wa lawama tu
Halafu wanaume mkiachwa kwasababu hamna pesa mnalalamika. Mnasema wanawake wanapenda pesa hawana mapenzi ya kweli.pole sana mkuu lakini bado una option ya kumwacha uyuo mwanamke kwa kuwa huna mtoto naye
😂😂Hahahaha daaah ntakuona unavyoshusha mitungimimi najuta sana pale nilikuwa naona kama watu wanaokunywa pombe kisa mawazo nilikuwa nawaona kama wajinga hiki ktu najuta sana wanajamvini
Halafu unakuta nawe pia ni wale wanaowasema vibaya single mother wakati ww pia ni sababu, halafu ndio mnakuja kututukana sisi ambao tumeamua kubeba mizigo yenu.Kabla ya kumuoa mimi tayari nilishakuwa na mtoto ambaye kwa sasa ana 10 years. Pia baada ya kuona mambo hayaendi kuna mchepuko nilidate nae, nikapata nae mtoto. So ninao watoto wawili wa mama tofauti.