RUCCI
JF-Expert Member
- Oct 6, 2011
- 1,702
- 1,716
Korea Kaskazini imetoa tisho jingine la vita kutokana na mazoezi ya kijeshi yanayofanywa na vikosi vya Marekani na Korea Kusini.
Jeshi la Korea Kaskazini lilisema kwa liko tayari kufanya mashambulizi ikiwa kuna dalili ya maandalizi ya kufanya uvamizi dhidi yake.
Wiki iliyopita korea kaskazini ilitishia kuendesha vita vya kunukilia kujibu mazoezi hayo ya pamoja ambayo marekani na korea kusini zinasema ni ya kujilinda na pia ya kawaida.
Chanzo: BBC