mr wilehard
Member
- Jun 29, 2015
- 49
- 23
Na hatimaye hii leo korea ya kaskazini yafanya majaribio ya mabomu ya masafa marefu kwenye bahari yake. hi ni moja ya vitisho dhidi ya Marekani na Korea ya Kusini.
tukio hili linakuja tangu Kim Jon Un alipoamumuru vikosi vyake vya nyuklia kuwa tayari.
Marekan Imeonya juu ya shambulio hilo na kuliita ni tishio la kiusalama. korea ya kusini naye imeonya na baadhi ya vyombo vyake vya habari vimeripoti kombora moja liliishia hewani.
chanzo na bbc
JE MZOZO UNAMADHARA GANI KWA MATAIFA MENGINE HASA AFRIKA.