GAS YA MSIMBATI
Member
- Mar 5, 2017
- 44
- 62
jamaa wana mwambia Trump kabisa kuwa frequency za hii kitu ziko hivi ukileta mambo yenu amazenu amazetu !!
Hapa hapa bongo bahati mbaya au wapi mkuuWhen you play with fire someone, is going to burn....
Ngoja na sisi tuanze tengeneza weapons zetu
natamani sana north korea ingekuwa nchi ya kiarabu, tatizo ndugu zetu warabu hawapendi shule ndomana wanashindwa kujiongoza wenyewe wanapigana vita kila kukicha kwa ujinga wao.
yani mwarabu na shule ni kama mmasai na chupi
Shule gani wasiopenda Waarabu unayoizungumzia? Hivi wewe hii TZ yako unaweza kuifananisha na Qatar kwa maendeleo? Waliwezaje kuendelea kama hawana elimu?! Halafu wewe uliyeelimika kuliko Waarabu nini cha maana ulichokifanya chenye faida kwa nchi yako?! Siku nyingine kabla hujaandika jiongeze kidogo unajiaibisha Mkuu.
MKUU INAONEKANA NA WEWE HAUNA ELIMU KABISA
mimi nina elimu ya kidato cha 4 nimepata division 4 ya 28, nataka nikujibu kisomi hoja zako zoote kama ifuatavyo:
SWALI;"Hivi wewe hii TZ yako unaweza kuifananisha na Qatar kwa maendeleo?"Waliwezaje kuendelea kama hawana elimu?
JIBU; hapana siwezi ifananisha TZ na Qatar kwasababu
1. waTZ ni wajinga zaidi kuliko watu wa qatar,
2. sizani kama Qatar, sudi Arabia, UAE ni nchi za kiarabu
3. wao wameziongoza vizuri rasilimali zao vizuri kwa kutumia wasomi kutoka ulaya ila wenyewe hakuna kitu
SWALI; Halafu wewe uliyeelimika kuliko Waarabu nini cha maana ulichokifanya chenye faida kwa nchi yako?
JIBU; mambo nililoyAfanya yenye faida kwa nchi yangu
1. sivai mabomu nakijilipua kama wapumbavu hao wafanyavo
2. nalipa kodi
3. nimeajili wafanyakazi wa4 wa kuhudumia NGURUWE wangu
4. naelimisha watu wasiojielewa kama wewe kupitia mitandao ya kijamii
kweli kingereza sio lugha yetu naona umeamua kutulisha matango pori skunyingine andika hivi:Arguably a very stupid comment from a stupid..............
hahahahnatamani sana north korea ingekuwa nchi ya kiarabu, tatizo ndugu zetu warabu hawapendi shule ndomana wanashindwa kujiongoza wenyewe wanapigana vita kila kukicha kwa ujinga wao.
yani mwarabu na shule ni kama mmasai na chupi
Umemaliza umeua mkuuMKUU INAONEKANA NA WEWE HAUNA ELIMU KABISA
mimi nina elimu ya kidato cha 4 nimepata division 4 ya 28, nataka nikujibu kisomi hoja zako zoote kama ifuatavyo:
SWALI;"Hivi wewe hii TZ yako unaweza kuifananisha na Qatar kwa maendeleo?"Waliwezaje kuendelea kama hawana elimu?
JIBU; hapana siwezi ifananisha TZ na Qatar kwasababu
1. waTZ ni wajinga zaidi kuliko watu wa qatar,
2. sizani kama Qatar, sudi Arabia, UAE ni nchi za kiarabu
3. wao wameziongoza vizuri rasilimali zao vizuri kwa kutumia wasomi kutoka ulaya ila wenyewe hakuna kitu
SWALI; Halafu wewe uliyeelimika kuliko Waarabu nini cha maana ulichokifanya chenye faida kwa nchi yako?
JIBU; mambo nililoyAfanya yenye faida kwa nchi yangu
1. sivai mabomu nakijilipua kama wapumbavu hao wafanyavo
2. nalipa kodi
3. nimeajili wafanyakazi wa4 wa kuhudumia NGURUWE wangu
4. naelimisha watu wasiojielewa kama wewe kupitia mitandao ya kijamii
Hahahaaaakweli kingereza sio lugha yetu naona umeamua kutulisha matango pori skunyingine andika hivi:
Arguably, it is very stupid comment from a stupid ..............