mr wilehard
Member
- Jun 29, 2015
- 49
- 23
Mfalme wa Korea ya Kaskazini amekuwa akizidi kutoa vitisho vya kushambulia taifa la marekani. hatua hii inakuja baada ya mataifa ya Marekani na Korea Ya Kus. Kufanya mazoezi ya pamoja ya kijeshi huku korea ya kaskz. wakijihami dhidi ya mazoezi hayo. korea ya kaskazin mapema mwaka huu walifanya majaribio ya bomu la HYDROGEN hatua iliyopelekea UN kuweka vikwazo dhidi yake. Mfalme Wa Korea Ya Kaskz ameshaweka vikosi vyake tayari kwa jaribio la mabomu ya masafa marefu ambapo hatua hii imekuja baada ya kuwekewa vikwazo na UN kwa kufanya.
mwaka jana korea waliahidi kuifanya WOSHITON DC bahari na mwaka huu mpaka hivi sasa korea ya kaskz wanaendelea kujiimarisha kwa tayari kwa kushambulia marekani licha ya vikwazo vinavowekwa juu yake.
mwaka jana korea waliahidi kuifanya WOSHITON DC bahari na mwaka huu mpaka hivi sasa korea ya kaskz wanaendelea kujiimarisha kwa tayari kwa kushambulia marekani licha ya vikwazo vinavowekwa juu yake.