Korea Kazkazini yamtusi Obama

Korea Kazkazini yamtusi Obama

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
33,503
Reaction score
53,428
141219200508_obama_640x360_afp_nocredit.jpg

Rais Barrack Obama wa marekani amefananishwa na tumbili wa msitu wa Tropiki

Korea kaskazini imeilaumu Marekani kutokana na mataizo ya mtandao ambayo yameikumba siku chache zilizopita.

Tume ya taifa ya ulinzi nchini Korea Kaskazini inasema kuwa Marekani inavuruga mifumo ya mitandao ya nchi hiyo huku ikimfananishi rais wa marekani Barack obama na tumbili wa misitu ya tropiki mbali na kumshutumu kwa kuhusika katika kuonyeshwa ka filamu yenye utata inayojulikana kama The Interview.

141220071928_sony_film_release_cancelled_640x360_afp_nocredit.jpg

Filamu ya the interview ambayo rasi Obama alishinikizwa ionyeshwe

Filamu hiyo iliyotengenezwa na kampuni ya Sony ambayo ni ya ucheshi inayoonyesha kuuawa kwa kiongozi wa korea kaskazini Kim Jong Un.

Korea kaskazini imekana kuhusika kwenye uhalifu wa mtandao dhidi ya kampuni ya Sony uliosababisha kampuni hiyo kusitisha maonyesho ya filamu hiyo.

SOURCE:
BBC Swahili
 
Tunakaribia kuona mwisho wa ubabe wa marekani
 
Alisema atapiga white house sasa mbona anaishia kulalama tu!! Afanye kweli kama alivyosema kama kweli ni wanaume wa shoka
 
Marekani kuwaondoa ni bado sana labda mpaka tufe na wajukuu zetu nao wafe
 
Marekani kuwaondoa ni bado sana labda mpaka tufe na wajukuu zetu nao wafe
dogo nadhani umelala sana wata wameisha amka zamana na wanaona inavyo zama pole pole na uhakika katika 2020 utaona imepotea si ajabu wao kwa wao watanza kupigana:becky:
 
North Korea called President Barack Obama "a monkey" and blamed the U.S. on Saturday for shutting down its Internet amid the hacking row over the comedy "The Interview."..........AP

NK knows some slurs?!.....they're so Isolated no one would think they even realize there's black people in this world!
 
I expected such a sophomoric statement from them because that is their MO.

This is not the first time for them to hurl insults at a leader of another country.

They've called the South Korean president a "prostitute". They have issued racist comments before.

It's what they know and do best.

When it comes to talking a good game they are second to none!
 
I expected such a sophomoric statement from them because that is their MO.

This is not the first for them to hurl insults at a leader of another country.

They've called the South Korean president a "prostitute". They have issued racist comments before.

It's what they know and do best.

When it comes to talking a good game they are second to none!

.....they remind me of kids games, 'make game of,' 'name calling'
 
Hawa N Korea ndio wanaipa promo hiyo film, wange ignore wala tusingejua kama kuna film hiyo isipokuwa wachache tu..
 
I expected such a sophomoric statement from them because that is their MO.

This is not the first for them to hurl insults at a leader of another country.

They've called the South Korean president a "prostitute". They have issued racist comments before.

It's what they know and do best.

When it comes to talking a good game they are second to none!

At one point Tanzania hailed North Korea as a model of scientific socialism. Thanks God Ujamaa failed. We could be spewing insults like the North Koreans.
 
Back
Top Bottom