Korea Kaskazini: Wananchi wazuiwa kucheka au kusherehekea chochote kwa siku 11

Umoja wa mabaharia tangazeni ndoa na wake wakikorea Mana wakisikia Hilo itakua afadhari kwao
 
Ningekuwa nakaa korea wangeshaniua napenda kucheka, na ku smile always
 
Yaani hii nchi ni kama uhuru wake ulipatikana kwa njia za uganga na ndio maana imekua inaendeshwa kwa masharti ya kidwanzi

Miezi kadhaa iliyopita tulipata kusikia habari kua mtu mmoja kahukumiwa kunyongwa yeye pamoja na familia yake kwa kuuza CD za hollwood

Imagine familia nzima imekua responsible kwa kosa ambalo kafanya mtu mmoja

Haya tukaenda weee tukasikia tena korea kaskazini wamekuja na mpya kwamba hairuhusiwi kuvaa nguo ya jeans. Tulivyochimba hiyo habari kiundani tulikuja kugundua kua kumbe kabla la hilo katazo, serikali ya korea iliruhusu watu wavae jeans ya rangi yoyote isipokua blue kwasababu blue ina identity ya kimarekani

Wakati hatujapoa na hiyo habari tukiendelea kutafakari ni namna gani korea amekua akiichukia marekani kwa kuwakomoa raia wake, tukasikia tena kuna dent kapigwa death sentense kwa kukutwa na flash yenye series ya squid game

Squid game ni filamu yenye maigizo ya watu kufa pale ambapo watakosea kucheza game, lakini kwa north korea hali ni tofauti ukienda kinyume na maigizo ya kiduku unakufa kiukweli ukweli
Zaidi huruhusiwi kunyoa kiduku au panki kama mkuu wa nchi.
Haruhusiwi mtu kuvaa yale mapekosi kama mapanki.
Aliyokufa baba yake siku ya kuzika lazima uonekane unalia.
Lazima uinane na kumpigia makofi mapanki akiwasili kwenye hafla yoyote ile.
Nafikiri usiku kuna wakati wa kuzima taa au umeme unazimwa kwa sababu za kiusalama.
Kabla hajateuliwa mjomba wa karibu alionekana tishio. Akatengenezewa zengwe akapigwa risasi.
 
Halafu naskia hii nchi ni miongoni mwa rafiki vipenzi wa Tanzania,mpaka tunauziana silaha kwa kisiri pamoja na vikwazo vya UN.
 
Wacha waendelee kudhulumiwa na kunyanyaswa hao wananchi mapimbi, wanashindwa nini kuliamsha amsha, uwoga wao tu, hawatakua wa kwanza, haya madikteta ukiyaachia mtabanwa mpaka muishe. Waliamshe tu na wakufa atakufa ila watakaobaki waishi maisha mema, wakubali kulipa gharama.....la sivyo wataendelea kuishi kama mazombi.

Utakuta kuna wanajeshi wengi wanasubiri wakuliamsha, hawampendi huyu zuzu kiduku.
 
unateseka ukiwa wapi

Sent from my SM-J5108 using JamiiForums mobile app
 
There is no celebration of any kind in North Korea.

The ban comes on the eve of the 10th anniversary of the death of former North Korean leader Kim Jong Il. With the ban, North Korea will not be able to laugh for 11 days.

North Korea is mourning the death of its former leader Kim Jong Il for 11 days. According to international media reports, North Korea has banned people from laughing, celebrating, and drinking during this period of mourning.

North Korea is now ruled by Kim Jong-un's son Kim Jong-un. To mourn Kim Jong Il, the administration has ordered that no one is allowed to laugh, drink or celebrate for 11 days.

No one is told to celebrate their birthday during this period of mourning. Kim Jong Il, then North Korea's supreme leader, died on December 17, 2011. He ruled the country for 17 years. After the death of Kim Jong Il, his son Kim Jong-un came to power.`
Tupe katazo la Kikorea achana na propaganda za USA 🇺🇸
 
amini mwamba yaani inaonekana Kuna kundi la mageneral uchwara wanailinda Hiyo familia Kwa kua vibaraka Ili Hali wananchi wa kawaida wanateseka,ila wananchi wenyewe mazuzu wa kiwango kikubwa Huo upuuzi wa kiwango hicho ungefanyika nchi mojawapo huku Afrika hao wangekua washafurushwa kitambo Sana maana nchi nyingi za kiafrika Zina masnitch wa kiwango Cha lami wakiona unanyanyasa raia Kwa kiwango Cha Juu wahuni wanatake advantage ya kufanya mapinduzi Ili waungwe mkono na raia!
Sasa huko sijui wanakwama wapi?
😁😁😁😁
Tatizo yule jamaa ni kichaa halafu ana nyuklia bomu
 
Usiende mbali sana. Hapa Tanzania kuna watu walikamatwa walipofanya sherehe kipindi cha kifo cha JP. Watu wasifanye sherehe kwasababu kuna msiba, ukikutwa unafanya sherehe unakamatwa
HIYO NCHI NGUMU SANA AISEEE, HADI KUZUIA KUCHEKA
 
amini mwamba yaani inaonekana Kuna kundi la mageneral uchwara wanailinda Hiyo familia Kwa kua vibaraka Ili Hali wananchi wa kawaida wanateseka,ila wananchi wenyewe mazuzu wa kiwango kikubwa Huo upuuzi wa kiwango hicho ungefanyika nchi mojawapo huku Afrika hao wangekua washafurushwa kitambo Sana maana nchi nyingi za kiafrika Zina masnitch wa kiwango Cha lami wakiona unanyanyasa raia Kwa kiwango Cha Juu wahuni wanatake advantage ya kufanya mapinduzi Ili waungwe mkono na raia!
Sasa huko sijui wanakwama wapi?
Huo uzuzu wa wananchi wa north korea una tofauti gani na uzuzu tulionao watz?
 
Back
Top Bottom