Korea Kaskazini: Wananchi wazuiwa kucheka au kusherehekea chochote kwa siku 11

amini mwamba yaani inaonekana Kuna kundi la mageneral uchwara wanailinda Hiyo familia Kwa kua vibaraka Ili Hali wananchi wa kawaida wanateseka,ila wananchi wenyewe mazuzu wa kiwango kikubwa Huo upuuzi wa kiwango hicho ungefanyika nchi mojawapo huku Afrika hao wangekua washafurushwa kitambo Sana maana nchi nyingi za kiafrika Zina masnitch wa kiwango Cha lami wakiona unanyanyasa raia Kwa kiwango Cha Juu wahuni wanatake advantage ya kufanya mapinduzi Ili waungwe mkono na raia!
Sasa huko sijui wanakwama wapi?
Ukiona raia wapo kimya ujue wameridhika na viongoz wao na hayapo hayo unayo yasema , korea kaskazini ina wasomi wengi sn kuliko nchi yyt ya Africa , au Syria , Iraq au Yemen pia hakuna raia weny msimamo km wakorea , hiz hadith nying zinatungwa na magharib , yupo jamaa ang alienda swedem , wakamuuliza kajifunzia wap kuvaa nguo km zao ? Yaan it seems kwao wanajua waafrika hatujui hata kuvaa kisasa yaan inaoneka yanayooneshwa kule ni yale ya wahadzabe
 
Waafrika ni wavivu mno kufikir na hatuna kumb kumb km nyumbu vile , yaan media za magharib mnasahau walivyo waongo ? hv ni nchi gan ya Africa yenye wasomi kuliko N.Korea au ni nchi gan ya Afrika inq raia wenye msimamo km raia wa N.Korea ? hawa wazungu ni waongo sn na hz taarifa zinasikilizwa sn Africa na kwai huko ulaya ambapo wanaamini nje ya ulaya kuna watu wajinga km enzi za ukoloni ( advantage yao wazungu hii dhidi ya raia wao ) , kiufupi ukiona hakuna raia wa N.Korea wanapambana nje ya N.Korea basi jua hizi stori ni propaganda zeny target fulani siku za usoni either wanatak penyeza waas au ugaidi au mapinduz ya ghafla hvyo hapa wanaunda sababu za baadae , Subirin tuone
 
Huo uzuzu wa wananchi wa north korea una tofauti gani na uzuzu tulionao watz?
bongo hatuna uzuzu wa kiwango hicho japo CCM ndio chama dola ila angalau hakimilikiwi na mtu mmoja mwenye power kuu,nguvu zako na ushawishi utakufanya uwe top leader na utaweza upande juu na kupigwa chini Kwa kura za wajumbe,
Usitufananishe na Korea nchi ambayo ni Mali ya mtu binafsi Kim na sio taasisi Wala raia!
 
Back
Top Bottom