Kituko
JF-Expert Member
- Jan 12, 2009
- 9,555
- 9,330
North Korea confirms its controversial rocket launch failed, as observers report it broke up and crashed into the sea shortly after blast-off.
BBC News - North Korea rocket launch fails
Hawa jamaa raia wao hawana chakula badala ya kushughulikia maendeleo ya raia wanashughulikia maendeleo ya silaha. Ukitoka nchi masikini hata kufikiri kwako ni tatizo pia.
Mkuu badilisha kwanza hiyoheading yako, ni Korea Kaskazini na wala sio Korea Kusini
Mkuu usifate Propaganda za wamarekani na Waingereza, sio kwei kuwa jamaa wana shida ya chakula, hiyo ya kukosa chakula haiishi?, wewe umeanza kuisikia lini mpaka leo bado hipo tu?