Korea Kaskazini: hatutaharibu makombora yetu

Kajole

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2011
Posts
1,668
Reaction score
1,660
Waziri wa mashauri ya nchi za kigeni wa Korea Kaskazini ameonya kuwa hakuna vile nchi yake itaharibu zana za nyuklia wakati Marekani bado inaendelea kuiwekea vikwazo.

Ri Yong-ho aliuambia mkutano wa Umoja wa Mataifa kuwa vikwazo hivo vinapunguza imani yake kwa Marekani.

Hivi karibuni Korea Kaskazini imerejelea wito wake wa kuitaka Marekani na Umoja wa Mataifa kuondoa vikwazo na imeungwa mkono kutoka China na Urusi.

Korea Kaskazini yasitisha majaribio ya silaha za kinyuklia

Lakini uongozi wa Trump unasema kuwa vikwazo hivi vitadumu hadi pale Korea Kaskazini itaharibu zana zake za nyuklia.

Rais Donald Trump na kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-un walifanya mkutano wa kihistoria mwezi Juni ambapo Bw Kim aliahidi kuharibu zana za nyuklia.

Ri alisema nini?

Alisema Marekani ilikuwa inasisitiza suala la kuharibiwa silaha kwanza, sera ambayo iliongeza idadi ya vikwazo.

"Bila ya imani kwa Marekani hatuwezi kuwa na uhakika kwa usalama wetu wa kitaifa na katika hali kama hiyo hakuna vile tutaharibu silaha zetu kwanza."

Mkuu wa majeshi ya Korea Kaskazini azuru Korea Kusini

"Imani kuwa vikwazo vinaweza kuchangia sisi kusalimu amri ni ndoto," aliongeza.

Kipi kimefanyika tangu mkutano wa Singapore?

Makubaliano yaliyoafikiwa huko yalisema kuwa Korea Kaskazini ingeharibu zana zake za nyuklia lakini hayakuwa na mwongozo au muda au njia kuthibitisha mchakato huo.

Mwezi Agosti Rais Trump aliilaumu China ambaye ni mshirika wa Korea Kaskazini kwa suala hilo kutokana na tofauti zake za kibiashara na Marekani.

Korea Kaskazini yafungua mawasiliano ya simu na Korea Kusini

Hata hivyo mapema mwezi huu kiongozi wa Korea Kusini Moon Jae -in alifanya ziara ya siku tatu nchini Korea Kaskazini - ikiwa ndio ya kwanza kufanywa na rais wa Korea Kusini mjini Pyongyang kwa miongo kadhaa.

Bw Moon alisema aliweza kuthibitisha kujitolea kwa Kim Jong-un katika kuharibu zana za nyuklia na pia alikuwa na nia ya kukutana tena na Rais Trump hivi karibuni.

Kim pia aliahidi kuharibu eneo kuu la kufanyia majaribio ya makombora.

Source: Korea Kaskazini: Hatutaharibu silaha ikiwa vikwazo vitaendelea kuwepo
 
Dana dana anazochezeshwa Trump atakuwa mwehu siku zijazo.
Ulaya wamemdindia, iran imemdindia, SA kimemdindia.
Yani anawekwa mtu kati. Sera zake zinabakwa mbele na nyuma. China na Russia zinamuingilia kinyume na maumbile.
USA anajikuta kila anachofanya anakosea maana tayari ameshapakwa KY, kitu kinapenya tu bila mkwamo.
😀😀
 
duh....mawigi kazi anayo kwa sasa kila nchi anayogusa inamkoromea nazani ni mwanzo wa marekani kuanza kupoteza ushawishi duniani na kupuuzwa pia!!
 
Waziri wa mashauri ya nchi za kigeni wa Korea Kaskazini ameonya kuwa hakuna vile nchi yake itaharibu zana za nyuklia wakati Marekani bado inaendelea kuiwekea vikwazo.

Ri Yong-ho aliuambia mkutano wa Umoja wa Mataifa kuwa vikwazo hivo vinapunguza imani yake kwa Marekani.

Hivi karibuni Korea Kaskazini imerejelea wito wake wa kuitaka Marekani na Umoja wa Mataifa kuondoa vikwazo na imeungwa mkono kutoka China na Urusi.

Korea Kaskazini yasitisha majaribio ya silaha za kinyuklia

Lakini uongozi wa Trump unasema kuwa vikwazo hivi vitadumu hadi pale Korea Kaskazini itaharibu zana zake za nyuklia.

Rais Donald Trump na kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-un walifanya mkutano wa kihistoria mwezi Juni ambapo Bw Kim aliahidi kuharibu zana za nyuklia.

Ri alisema nini?

Alisema Marekani ilikuwa inasisitiza suala la kuharibiwa silaha kwanza, sera ambayo iliongeza idadi ya vikwazo.

"Bila ya imani kwa Marekani hatuwezi kuwa na uhakika kwa usalama wetu wa kitaifa na katika hali kama hiyo hakuna vile tutaharibu silaha zetu kwanza."

Mkuu wa majeshi ya Korea Kaskazini azuru Korea Kusini

"Imani kuwa vikwazo vinaweza kuchangia sisi kusalimu amri ni ndoto," aliongeza.

Kipi kimefanyika tangu mkutano wa Singapore?

Makubaliano yaliyoafikiwa huko yalisema kuwa Korea Kaskazini ingeharibu zana zake za nyuklia lakini hayakuwa na mwongozo au muda au njia kuthibitisha mchakato huo.

Mwezi Agosti Rais Trump aliilaumu China ambaye ni mshirika wa Korea Kaskazini kwa suala hilo kutokana na tofauti zake za kibiashara na Marekani.

Korea Kaskazini yafungua mawasiliano ya simu na Korea Kusini

Hata hivyo mapema mwezi huu kiongozi wa Korea Kusini Moon Jae -in alifanya ziara ya siku tatu nchini Korea Kaskazini - ikiwa ndio ya kwanza kufanywa na rais wa Korea Kusini mjini Pyongyang kwa miongo kadhaa.

Bw Moon alisema aliweza kuthibitisha kujitolea kwa Kim Jong-un katika kuharibu zana za nyuklia na pia alikuwa na nia ya kukutana tena na Rais Trump hivi karibuni.

Kim pia aliahidi kuharibu eneo kuu la kufanyia majaribio ya makombora.

Source: Korea Kaskazini: Hatutaharibu silaha ikiwa vikwazo vitaendelea kuwepo
kim ni mjanja sana. hawamuwezi
 
Salama kabisa Mkuu... fundi25 yupo Syria akijiandaa kuingia Idlib na wanamgambo wa Iran
Mkuu na sasa tuta wachapa kweli kweli huko maana mwavuli umewasili!!
ruslan-640x400.jpg

Russia using world’s largest military planes to deliver S-300 system to Syria
 
hivi huyu marekani ndo baba wa dunia nzima au, sisi nchi nyingine ndo watoto wake tena tupo chini ya 18 years hatuwezi kuamua mambo yetu wenyewe, shenz sana namwambia aangalie mambo yake ,atuache tushapita miaka kumi na nane .
 
Halafu trump usifanye wenzio watoto. Toa vikwazo tuharibu silaha usilete mchezo wa paka na panya hapa.
 
Back
Top Bottom