Labda wadhamini walizingua si unajua haya mambo ya airtime ya vipindi ni suala la wadhamini tu.......
Ila ilisimama miaka ya 2005 nadhani mpaka kwenye 2008....
Labda hapo ndo TV zetu zikakatika moyo.
Ila kuna matamasha mengi sana makubwa yanatokea afrika na bado TV zetu hazionyeshi kuchangamkia sana, nadhani labda na hadhira ya Watz haijaamka sana na haya mambo!
Taratibu tutafika!