Konyagi

Pombe hukata mawasiliano unajikuta hisia zinakuja kwa kuchelewa
 
Wakuu,hivi ni kwa nini mwanaume ukinywa konyagi then ukamuingilia mwanamke kimwili haumwagi wazungu kiurahisi?
Biashara imedoda unajaribu kubusti kwa kusingizia nguvu za kiume
 
Ndiyo maana mnakatazwa kutumia kilevi hususuni vikali maana huwa vinatabia vya kupoteza kumbukumbuku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…