Kongwa vs Hai ,wapi kuna maendeleo?

huo mlinganiosho sema Ndugai na Mbowe!! haaaaa . kuanzia mazingira na uoto wa asili, latitute na longitude, hali ya hewa, vichwa vya wakazi hapo ndio penyewe kongwa vumbi limevuruga vichwa sana macho hayaoni!! tongotongo kibaao utalinganisha wazee wa chapaa!! acha mchezo! Hai habari ingine - hata jina HAI!! Mana yake Juuu!!
 
P
 
Hii hoja inanikumbusha zile Cinema za Cowboy miaka ya 60's...Farasi Mweupe na Farasi Mweusi yupi anakimbia zaidi...au ukiitwa Farasi ulikuwa huchukii lakini ole wake akuite Punda..
Usijifiche kwenye kivuli cha farasi. Kongwa na Hai nisawa na usingizi na kifo. Wilaya ya kongwa ni masikini sana watu wake na maendeleo kule hakuna watu wanakunya porini
 
Karibu Pascal Mayala, nitaanza tena kusoma posts zako hapa, nilikuwa likizo kidogo
 

Kwa wale wasiojua Viwavijeshi ndio vimejaa kwenye ubongo wa Spika ya Redio
 
Kongwa imeendelea kwa mtizamo wa Spika msimlaumu ndio upeo wake
 
Kongwa kumejaa ombaomba wengi na Hai kumejaa wachapakazi
 
Hai maendeleo hakufanya mbowe kama mbunge ni wananchi walihamasika mapema kuwa na maendeleo ,ni sawa na Mbeya hivyo maendeleo hayo hayajatokana na mbunge,huu ndio ukweli,si ndiyo ndugu yangu!
 
Hai maendeleo hakufanya mbowe kama mbunge ni wananchi walihamasika mapema kuwa na maendeleo ,ni sawa na Mbeya hivyo maendeleo hayo hayajatokana na mbunge,huu ndio ukweli,si ndiyo ndugu yangu!
Sasa kwanini Spika anamwonea sana Mbowe, kama vile amemzidi kila kitu?
 
Kuna nyumba ya tope alafu wameweka geti ..sijui wanaogopa kuibiwa nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…