Ha ha ha ha ha, ynnah naona umeogopa.
Lazima niogope,mauno yanayonadiwa hadharani hayo si mchezo!! Oooh......"siri ya mtungi aijuae kata" nani kasema biashara matangazo bwana..lol
Mh!! Yani nimeishia kuguna tu.... Hongera zake The Boss
Mbwa wako asipobweka bweka mwenyewe, hujui hilo?
Ikishindikana kubweka wika hata kama mtetea lol
Embe zitakudidea bibie, ushangingi suna
Hahahahahaaaaaa nimecheeeka,hivi kumbe hayawi hayawi yamekuwa through kughushi?
Ha ha haha. signature namwachia mwenyewe
Ukimchunguza kuku humli
Huko MMU leo kuna mtu kamfuma mkwewe live sasa ana kiwewe
asingeuliza uliza aaah angejilia vyake kiulaini.
Asante Kaizer, yaani kope zina mvi sasa.
happy birthday mr kongosho ....
salimia wife na watoto...
YAaani nimeona...balaa tupu...hawa 'vijana wa siku hizi'
ha ha ha, sawa kabisa.
Teh Kongosho bhana lolha ha ha acha uchokozi bana.
Mbona mtukutu hivyo?
Asante, the same to you.