Hakuna kitu,wimbo mbaya,kwanza umekopiwa kutoka kwenye wimbo wa msanii wa Nigeria,
Zaidi ameongeza makelele tu,
Hakuna wimbo wowote kwenye msiba uliokuwa na mvuto wa kugusa hisia,kilichoonekana ni kama kwamba kila msanii alikuwa anataka kumpiku mwenzie kwa kutayarisha wimbo fasta fasta,mwishowe nyimbo zote zikawa za hovyo.
Sasa unakuta wasanii wapo watano,harafu wanajiita "all star"nikashangaa na Dangote Mond naye akaingia kwenye mkumbo huo na kushindana kutunga wimbo wenye maana.