Florian musumi
Member
- Sep 14, 2011
- 8
- 45
Siyo lazima ikusaidie wewe Chadema inawasaidia CCM. Pita kimya kimya mkuu!!Fikra potofu zinakwamisha maendeleo ya vijana wengi sasa ccm ikishinda Sisi inatusaidia nini?
Au ulikuwa unanifunza kupost thread hapa jukwaani
Wewe endelea kujipa moyo!Jinga sana! Kwahiyo vijana wa Mwanza ni wachache namna hiyo? Unafahamu nyomi la vijana lililopo kitaa? Kwa taarifa yako ccm haipendeki hadi chato vijijini, tena hadi kwa wazee kabisa! Fanya upelelezi utapata majibu
Nimekwambia fanya research utapata majibuWewe endelea kujipa moyo!
Haijawahi kutokea chini ya juaHawa jamaa ni vituko kweli
Ova
Siyo lazima ikusaidie wewe Chadema inawasaidia CCM. Pita kimya kimya mkuu!!
Kwa kuwa wewe ni kipofu na kiziwi huwezi kuona wala kusikia .Hivyo hata ubiwe vp huwezi sikia wala kuona.Taja mambo matano yaliyofanywa na utawala huu yaliyomnufaisha mwananchi wa kawaia