Kiongozi habari!!!
Pamoja na salamu kutoka kwangu napenda kukujulisha kuwa Kongamano la vyuo vikuu la tarehe 23/03/2014(jumapili hii) limehairishwa mpaka tutapotoa taarifa. Barua ya maelezo ya kina inafuata. Nikutakie asubuhi njema.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.