Mwandaaji, nategemea mtawaalika pia wakurugenzi wa mabenki mbali mbali kwa ajili kutoa wito kwao watoe mikopo kwa ajili ya kilimo cha kisasa. Lakini pia, mhimu kuwashirikisha watu wa kada zote ili kupanua wigo. Nategemea pia kutakuwepo na watu wa kupresent (oral presentation from professional people not politicians) namna ya kutoka hapa tulipo (current state of art on agricultural sector) kwenda hatua nyingine nzuri zaidi.