Wote hao ni Dr. Uchwara wasiokuwa na la kuongea, hawana lolote la kuuwaeleza Wazenji, ikiwa wana KONGAMANO la muungano na waende huko Zenji waone kama hawatawatoa mbio na pumba zao.
Badala ya kuongea mambo ya msingi wanatuletea pumba zisizokuwa na maana, hebu kama mna la maana kuhusu muungano nendeni Zanzibar mkawaeleze.