OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 52,100
- 114,676
Wazungumzaji waliokuwa wamealikwa leo kwenye kongamano la uzinduzi wa kitabu cha Lusako ni kama ifuatavyo. Kongamano hili limepigwa marufuku na serikali bila maelezo ya kina
1.Roeland Van de Geer-Mgeni rasmi
Balozi wa EU nchi ni
2.Jenerali Ulimwengu
3.Mh.Boni Jackob
Msahiki Meya wa Ubungo
4.Julius Mtatiro
Mwenyekiti CUF
5.Mh.Evalist Silayo
Mwenyekiti Halmashauri ya Rombo
Wachokoza Mada
1.Onesmo ole Ngurumwa
Mkurugenzi THRDC
2.Dr.Hellen Bisimba
Mkurugenzi LHRC
3.Prof.Shivji
Gwiji wa sheria
4.Harold Sungusia
Mwanaharakati
My Take
Hii serikali inatutia aibu nje na ndani.Shame na hamtafanikiwa kama katuni Pimbi alivyokuwa akihaha mpaka gazeti linakufa hakuwai kufanikiwa kitu
Mods msiunge mada
1.Roeland Van de Geer-Mgeni rasmi
Balozi wa EU nchi ni
2.Jenerali Ulimwengu
3.Mh.Boni Jackob
Msahiki Meya wa Ubungo
4.Julius Mtatiro
Mwenyekiti CUF
5.Mh.Evalist Silayo
Mwenyekiti Halmashauri ya Rombo
Wachokoza Mada
1.Onesmo ole Ngurumwa
Mkurugenzi THRDC
2.Dr.Hellen Bisimba
Mkurugenzi LHRC
3.Prof.Shivji
Gwiji wa sheria
4.Harold Sungusia
Mwanaharakati
My Take
Hii serikali inatutia aibu nje na ndani.Shame na hamtafanikiwa kama katuni Pimbi alivyokuwa akihaha mpaka gazeti linakufa hakuwai kufanikiwa kitu
Mods msiunge mada