mtanganyika wa kweli
JF-Expert Member
- Apr 12, 2015
- 2,420
- 1,720
KONGAMANO LA KUMBUKIZI YA WALTER RODNEY
Jukwaa la Wajamaa Tanzania (JULAWATA) kwa kushirikiana na Taasisi ya Soma wameandaa Kongamano kwa ajili ya kutafakari fikra na mapambano ya mwanazuoni wa kimapinduzi, Walter Rodney. Mada kuu ya Kongamano: WALTER RODNEY: DHANA YA MAENDELEO NA UKOMBOZI WA WAVUJAJASHO
Mahali: Taasisi ya Soma (Mtaa wa Regent, jijini Dar es Salaam)
Siku: Jumamosi, 10 Juni 2017
Muda: saa 3.00 asubuhi hadi saa 7.00 mchana.
Kitabu kipya juu ya fikra na mapambano ya Walter Rodeney, kiitwacho: “The Enduring Relevance of Walter Rodney's How Europe Underdeveloped Africa" kitazinduliwa. Mwandishi wa kitabu hicho, Prof Karim Hirji, atakuwa mmoja wa wawasilisha mada.
Kongamano hili halina kiingilio. Nyote mnakaribishwa.
Kwa Mawasiliano: 0754255744 (Joel Ntile).