Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,883
Kwenye kutetea MADAWA YA KULEVYA tu ndo niliona wakishirikiana BungeniKwani ushawahi ona wapi hivi vyama vikishirikiana kwa namna yoyote ile?
Wakiwakataa watamtaka nani sasa? Lile FISADI?Watashiriki vipi wakati hawana jipya ktk jamii ndo maana jamii inazidi kuwakataa
Wakutia aibu si wale wenye demokrasia ya kumteua mgombea URAIS kutoka CCM,tena aliyetemwa kwa KASHFA ya UFISADI? halafu anateuliwa kabla hajakata hata kadi ya chama?Hao watatia aibu bora walivyokimbia
Kwenye kutetea MADAWA YA KULEVYA tu ndo niliona wakishirikiana Bungeni
Kongamano sio ushiriakiano tafadhariKwani ushawahi ona wapi hivi vyama vikishirikiana kwa namna yoyote ile?