Kongamano la katiba mpya

matizo

New Member
Jan 25, 2011
2
0
asante kwa kuandikishwa katika jamii forum.
nataka kujua kuhusu kongamano la katiba mpya lililoandaliwa na UDASA- CHUO KIKUU.
Hivi mmefuatilia kwa makini hoja za watoa mada?
 
asante kwa kuandikishwa katika jamii forum.
nataka kujua kuhusu kongamano la katiba mpya lililoandaliwa na UDASA- CHUO KIKUU.
Hivi mmefuatilia kwa makini hoja za watoa mada?

Hongera na karibu sana. Ndiyo, tumefuatilia. Tafuta thread yenye jina kama hilo la kwako utaona kila kitu. Hata picha zipo.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom