Kongamano la CHADEMA Vyuo Vikuu Dodoma


Umenikuna kisawasawa na maneno yako mazito!
 
Tupo pamoja MH REGIA asanteni sana watanzania wenzetu kwa kutuanzia na kutuendelezea hili vuguvugu la ukombozi. Binafsi nimefurai sana kwa kuanza kuwekeza kwa wasomi wetu kwa fursa za namna tukizitumia vizuri ukombozi umenukia.
 

Simuoni "mpambanaji" Zitto
 
kwa kazi tuliyoifanya dodoma this week kweli watanzania wameamka kwani vyuo vina watu kutoka kila pande ya tz,ila bado kuna wasomi ambao hawajaelimika kwa kuogopa ccm.mungu bariki udom
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…