Plato
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 420
- 94
Wanavyuo wa elimu ya juu dar,wana kongamano lililoandaliwa na wanachadema CHASO tawi la DUCE.Litaanza saa nne asbuhi.viongozi wa chadema makao makuu watakuwepo,pamoja na Dr. A.LWAITAMA.litafanyika kwenye ukumbi wa TCC Sigara,Chang,hombe.karibu na national stadium.karibuni.