kongamano BAVICHA VS UVCCM...!

The Kop

JF-Expert Member
Aug 7, 2010
209
92
natamani UDASA waandae konganamano kati ya Baraza la Vijana Chadema (BAVICHA) na Umoja wa Vijana CCM (UVCCM). hii itatuwezesha kujua aina ya vijana tulionao, hususan wakipewa uongozi kwa hapo baadaye....! nawasilisha!
 
UVCCM wasivyo na heshima hata kwa viongozi wao akina sumaye na sita mpaka kuwatukana sio wataanza kuwavurumishia matusi wa chadema
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom