Kondoo na radi

ukisoma physics vizuri utaelewa what radi is.
 
Nimekusoma lakini ulimwengu wa giza ni dhana moja pana sana kwahiyo kuna wakati pia kuna upotoshaji mkubwa tu lakini pia kuna ukweli na uhalisia wenye hoja jadidi
Khaa!! ninaanza kukuelewa kidogo kidogo profesa..
 


Kaka mshana jr naomba nikurekebisha, Devil worshiper wanatumia goat sign na sio lamb sign.
 
Last edited by a moderator:
Kaka mshana jr naomba nikurekebisha, Devil worshiper wanatumia goat sign na sio lamb sign.

Ni sahihi kabisa lakini pia katika baadhi ya matambiko na ibada za kuzimu hutumia Kichwa cha kondoo dume angalia hii picha
 
Last edited by a moderator:
Ni sahihi kabisa lakini pia katika baadhi ya matambiko na ibada za kuzimu hutumia Kichwa cha kondoo dume angalia hii picha View attachment 298371
Bwana mshana jr , kondoo amekuwa akitumika tangu kale katika ibada za matambiko ya kiafrika (ancestors worship), na ibada hizi hazina uhusiano na devil worship.

Kondoo ( mwana kondoo) amekuwa akitukika kama alama kwa waumini wa dini ya kikristo tangu kale.
 
Last edited by a moderator:

Bado nazidi kukubaliana nawe GIUSEPPE, huyo ni mwanakondoo alama muhimu ya utii, upole na uchaji mbele za Mungu
Kondoo wa kishetani ni dume Yule mwenye mapembe tabia za kondoo hawa unazifahamu vema wakorofi na wenye kiburi mno
 
Last edited by a moderator:
mkuu,juzi tu hapa ulitoa mada kuhusu kichwa cha ,mbuzi,ukakifananisha ya alama ya kishetani ukatia ufanano na mchoro wa uke,leo ni kondoo na siyo mbuzi tena

tehetehe nami nilikuwa nafuatilia nione kama ni mimi pekee ndio nimeliona hili.....ahsante....kula like :cheer2:1000
 
Ndio dhambi ya asili dhambi inayosadikika kutendwa kwa mara ya kwanza na mwanadamu kwa ulaghai wa sheatani

Mshirikina na mlozi katika ubora wake. Nawachukia sana watu wenye tabia zako.
 

haya ndo maelezo sahihi kabisa.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…