Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,292
Katika Ulimwengu wa giza radi ni Vita ya kuzimu, katika Bible walitumia mwana kondoo wa Mungu
Shetani naye hupita humohumo kwakuwa shetani ni mlaaniwa wa Mungu kwa Kumtumia mnyama yuleyule mwenye utii amekitumia Kichwa chake kama alama yake muhimu
Kondoo anayetajwa kwenye Bible hana mapembe huyu ni mtii, kondoo atumiwaye na shetani ana mapembe
Hii kitu nimeishuhudia live kabisa kijijini, kuna imani za kishirikina ndani yake lakini na kishetani pia kwakuwa kimsingi Kichwa cha kondoo ni alama muhimu ya shetani
Ukiacha kisayansi radi huwa inahusishwa na kuzimu hivyo kondoo kama sehemu ya utawala wa huko naye hujiandaa kupambana
Naona wewe kidogo una utaalamu ,kuna hii ndoto naiota mara kwa mara niko na kiongozi mkubwa wa nchi tunatia story ,naomba unipe maana yake plz.Hii kitu nimeishuhudia live kabisa kijijini, kuna imani za kishirikina ndani yake lakini na kishetani pia kwakuwa kimsingi Kichwa cha kondoo ni alama muhimu ya shetani
Ukiacha kisayansi radi huwa inahusishwa na kuzimu hivyo kondoo kama sehemu ya utawala wa huko naye hujiandaa kupambana
Sasa radi ikipiga inasababisha vita gani kuzimu ni kati ya mashetani yenyewe au?
mkuu,juzi tu hapa ulitoa mada kuhusu kichwa cha ,mbuzi,ukakifananisha ya alama ya kishetani ukatia ufanano na mchoro wa uke,leo ni kondoo na siyo mbuzi tena
Naona wewe kidogo una utaalamu ,kuna hii ndoto naiota mara kwa mara niko na kiongozi mkubwa wa nchi tunatia story ,naomba unipe maana yake plz.
naona unampa moyo ili aendelee kuota
Ni uzao mmoja kwakuwa wote wapo kundi moja
Avae sasa unatudanganya siyo kundi mmoja kiimani.
Kondoo hutumika katika sadaka ya wazi na ya ki Mungu ya Mwanga. Kondoo ni mpole, na huguna tu anapochinjwa kama sadaka
Mbuzi ni kinyume chake na ndio maana hutumika na wale waupande wa giza. Mbuzi hata ukimshika tu mguu atapiga kelele mpaka majirani waamke, ni mkorofi ni kipenzi wa sadaka ya giza.
Avae unajua sana haya kwa nini usisme kweli? Na baba wa uongo ni yule wa giza
Ulichokiongea ni tabia lakini vichwa vya wote wawili hasa madume ndio hutumika kwenye mambo ya giza
Madume ni jeuri katili na wabishi na hapa ndipo shetani anapotia mguu wake angalia michoro
mshana jr katika ubora wako...
View attachment 297698View attachment 297699hivi ni vichwa vya kondooView attachment 297700View attachment 297701hivi ni vya mbuzi
Picha ifuatayo Natanguliza kuomba radhi sina maana ya kukejeli, ni picha inayohusisha sehemu zasiri na Kichwa cha kondoo dume View attachment 297702na ndio maana ngono ni sehemu ya ibada muhimu ya kwenye dini ya mashetani
Mshana jr kwanini ngono ni sehemu kubwa katika ibada za shetani, ikiwa pamoja na ile ya kufanya kinyume cha maumbile? Msaada tafadhari
Ndio dhambi ya asili dhambi inayosadikika kutendwa kwa mara ya kwanza na mwanadamu kwa ulaghai wa sheatani
Khaa!! Prof Mshanajr kwa kweli miye huwa sioni kwenye ulimwengu wa giza..Rohombaya upo sahihi kabisa kisayansi mimi nimejikita kwenye Ulimwengu wa giza nimechangia kwa muktadha huo
Labda niseme kuwa sauti za radi ndani ya Satanism na kama ni wakati wa ibada na kuna Kichwa cha kondoo dume au beberu wakati ibada ikiendelea ni ishara ya kukubaliwa maombi yao toka kuzimu