Hii ni kwa mujibu wa sayansi ama utamaduni???
Mlamke! Kuna huyu mnyama mwenye tabia za pekee za kustaajabisha asiyeogopa kifo si mwingne naye ni kondoo.
Nmewahi kuwaona kondoo mara nyngi pale radi inapomulika na kutoa sauti huyu mnyama anabadlika anajiweka mazingira ya kugombana.
Inafikia hatua anajiandaa kabisa anarudi nyuma kama kwamba anataka kupiga kichwa kitu.
Zaman wazee walifikia hatua ya kumfungulia pindi radi zikianza waliohofia kuwa anaweza kufa.
Sasa je kuna reaction gani kati ya radi na kondoo? Wakat radi sio mnyama?.
mshana jr , christina ibrahim , The Boss Malafyale nawengne wengi njoon hapa
Hii kitu nimeishuhudia live kabisa kijijini, kuna imani za kishirikina ndani yake lakini na kishetani pia kwakuwa kimsingi Kichwa cha kondoo ni alama muhimu ya shetani
Ukiacha kisayansi radio huwa inahusishwa na kuzimu hivyo kondoo kama sehemu ya utawala wa huko naye hujiandaa kupambana
Naona una mislead watu.
Radio ina husianaje na kuzimu?
Naona una mislead watu.
Radio ina husianaje na kuzimu?
Hii kitu nimeishuhudia live kabisa kijijini, kuna imani za kishirikina ndani yake lakini na kishetani pia kwakuwa kimsingi Kichwa cha kondoo ni alama muhimu ya shetani
Ukiacha kisayansi radi huwa inahusishwa na kuzimu hivyo kondoo kama sehemu ya utawala wa huko naye hujiandaa kupambana
Mmmh! Kumbe hayo nayo ni maoni. Mshana jr tumia ushahidi kunishawishi. Kwani Yesu alitumia kondoo kuonesha wafuasi wenye utii, nidhamu na unyenyekevu.
Hiyo michoro si ya kondoo!
Ebu nishawisnhi kisayansi zaidi.
Katika Ulimwengu wa giza radi ni Vita ya kuzimu, katika Bible walitumia mwana kondoo wa Mungu
Shetani naye hupita humohumo kwakuwa shetani ni mlaaniwa wa Mungu kwa Kumtumia mnyama yuleyule mwenye utii amekitumia Kichwa chake kama alama yake muhimu
Kondoo anayetajwa kwenye Bible hana mapembe huyu ni mtii, kondoo atumiwaye na shetani ana mapembe
Ulimwengu unaouongelea ni wa "giza" siwezi kuujadili sana kwani siufahamu labda kwa kufikirika tu. Nawaachia wenye knowledge hiyo.
Kwani hata mimi nilishawahi kuuziwa kitu kinachoitwa "mfupa wa radi" Nikajua kuwa hawa ni "watoto wa mjini" wanajaribu kurahisisha maisha tu.
Kwa kuwa hili suala la kiimani zaidi, ngoja kwanza nisome Yohana 1:34, I will be back.
mkuu toka zaman kondoo anafahamika kama mnyama anayetumiwa kwa iman za kidin hata ukirejea vitabuu vya dini utawaona akina ibrahim walitumia kondoo kutoa sadaka.
Vilevile kondoo haogopi kifo anaweza kukimbia akihisi hali ya hatar au hali ya kujeruhiwa lakn ikifika hatua ya kifo kondoo hutulia kabisa anakuwa mpole sana.
Sasa inakuwaje unamhusisha na kuzimu?
mfupa wa radi???? Kwan radi n mnyama?
Katika Ulimwengu wa giza radi ni Vita ya kuzimu, katika Bible walitumia mwana kondoo wa Mungu
Shetani naye hupita humohumo kwakuwa shetani ni mlaaniwa wa Mungu kwa Kumtumia mnyama yuleyule mwenye utii amekitumia Kichwa chake kama alama yake muhimu
Kondoo anayetajwa kwenye Bible hana mapembe huyu ni mtii, kondoo atumiwaye na shetani ana mapembe
Rohombaya upo sahihi kabisa kisayansi mimi nimejikita kwenye Ulimwengu wa giza nimechangia kwa muktadha huoKhaa!! Acheni kudanganyana bana. Radi ni mlipuko unaotokea wakati chaji hasi na chanya zinavyokutana. Inaweza kuwa kati ya mawingu na ardhi au mawingu kwa mawingu. Sasa inapotokea kati ya mawingu na ardhi, vile vitu vilivyopo ardhini huanza kujenga chaji katika sehemu zao za juu zaidi kwa kondoo/binadamu/kuku lazima itakuwa ni kichwani. Sasa tumetofautiana kiwango cha utambuzi katika maumbile yetu namna ya kutambua kuwa chaji inajijenga katika miili yetu. Kondoo hutambua mapema (wastani sekunde 10 kutegemea na kasi ya chaji kujijenga) kabla ya binadamu hivyo hali hii humpa shida kichwani ndiyo huanza kurukaruka. Hali hii humtokea binadamu pia huhisi kama nywele zinasimama hivi, ukiona hivyo ujue umebaki na sekunde kama 4 hivi kupigwa na radi, Hivyo ondoka hapo haraka ujifiche ndani ya jengo. Ndege wao wanatambua mapema kuliko kondoo, Ukiwa chini ya mti wakati wa mvua ukaona ndege wanaruka kuukimbia mti basi na wewe fanya hivyo haraka. Hakuna cha Mzee Mangungu wala nani ni hesabu tu :glasses-nerdy:
Durufu : mshanajr
http://www.crh.noaa.gov/Image/gid/WCM/safety/lightning.pdf