ng'homango Member Joined Mar 21, 2015 Posts 10 Reaction score 2 Mar 22, 2015 #1 naomba kuelimishwa juu ya mnyama huyu: mbuzi dume anaitwa 'beberu', na kondoo dume aitwaje? tupia jibu tusaidiane kupambana na adui 'ujinga' maana kanisumbua kwa muda sasa.....
naomba kuelimishwa juu ya mnyama huyu: mbuzi dume anaitwa 'beberu', na kondoo dume aitwaje? tupia jibu tusaidiane kupambana na adui 'ujinga' maana kanisumbua kwa muda sasa.....
M Mourine stephano Member Joined Sep 4, 2014 Posts 38 Reaction score 7 Apr 3, 2015 #2 Anaitwa RAM kaka
H Hatugombani JF-Expert Member Joined Jun 15, 2013 Posts 1,155 Reaction score 822 Apr 15, 2015 #3 Anaitwa Gegedu.