MAHANJU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 5,255
- 8,027
Nimejaribu kufuatilia hili suala ni kwamba takribani mwezi mzima sasa kuna uhaba wa mipiria ya kiume Condoms, hili linaweza lisisemwe au likapuuzwa lakini ieleweke kua kuna hatari kubwa sana kukaongezeka kwa maambukizi ya VVU mtaani.
Siku ya juzi nilijaribu kuwatuma vijana wangu kufuatilia mtaani katika jiji la Dar ni takribani Pharmacy nyingi sana zina uhaba wa mipira hiyo,hata mahali ambapo zinapatikana ni kwa gharama kubwa sana tofauti na awali.
Ni wito wangu kwa mamlaka husika kulifatilia hili suala kwa makini na ukaribu ili kuepuka kupoteza nguvu kazi ya taifa, sote tunaelewa ni jinsi gani mipira hii imechangia kwa kiasi kikubwa sana kuzuia kusambaa kwa maambukizi ya virusu vya UKIMWI VVU na Mimba zisizotarajiwa.