MZALENDO_2021
Member
- Jun 9, 2021
- 9
- 7
Imeshanitokea si chini ya mara TATU, wakati ukiendelea na tendo kondomu za Bull ZINAPASUKA.
Mungu bariki hapakuwepo maambukizi. TBS chukueni hatua, mnaangamiza maisha ya watu....!
View attachment 2319526View attachment 2319527