Kondomu, mikojo na vinyesi vyazagaa mtaa wa Makoroboi

eddy

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2007
Posts
17,079
Reaction score
12,311
Katika hali ya kushangaza wafanyabiashara katika mtaa maarufu wa Makoroboi wamepata wakati mgumu kufuatia kuzagaa kwa uchafu wa kila aina uliosababishwa na watu waliokesha wakinywa pombe nje ya hotel ya Gold Crest.

Inasemekana watu hao walikuwa wakigawiwa pombe usiku kucha kulikosababisha ongezeko la watu.

Wafanyabiashara wa ngono waligeuza uchochoro ulio jirani na hoteli hiyo kuwa gesti bubu za kuendeshea biashara zao.

Muda wa asubuhi idadi kubwa ya kondomu chupa za bia na viroba vya pombe zimekuwa vikizagaa na kuwapa kazi ya ziada wafanyabishara wa maeneo hayo kuondoa uchafu huo.
 
Mkoa gani?
why mnaandika kama wote tunaishi mkoa mmoja?
 
Ccm wapo wanafanya mkutano wao. Ndio mafuriko ya kulazimisha
 
Katika hali ya kushangaza wafanyabiashara katika mtaa maarufu wa makoroboi wamepata wakati mgumu kufuatia kuzagaa kwa uchafu wa kila aina uliosababishwa na watu waliokesha wakinywa pombe nje ya hotel ya gold crest.

Inasemekana watu hao walikuwa wakigawiwa pombe usiku kucha kulikosababisha ongezeko la watu.

Wafanyabiashara wa ngono waligeuza uchochoro ulio jirani na hoteli hiyo kuwa gesti bubu za kuendeshea biashara zao.

Muda wa asubuhi idadi kubwa ya kondomu chupa za bia na viroba vya pombe zimekuwa vikizagaa na kuwapa kazi ya ziada wafanyabishara wa maeneo hayo kuondoa uchafu huo.

Hiyo makoroboi ipo wapi hapa Mongolia.........?......
 
Katika hali ya kushangaza wafanyabiashara katika mtaa maarufu wa Makoroboi wamepata wakati mgumu kufuatia kuzagaa kwa uchafu wa kila aina uliosababishwa na watu waliokesha wakinywa pombe nje ya hotel ya Gold Crest.

Inasemekana watu hao walikuwa wakigawiwa pombe usiku kucha kulikosababisha ongezeko la watu.

Wafanyabiashara wa ngono waligeuza uchochoro ulio jirani na hoteli hiyo kuwa gesti bubu za kuendeshea biashara zao.

Muda wa asubuhi idadi kubwa ya kondomu chupa za bia na viroba vya pombe zimekuwa vikizagaa na kuwapa kazi ya ziada wafanyabishara wa maeneo hayo kuondoa uchafu huo.

Goldcrest na makoroboi wapi na wapi?
 
Hivi Goldcrest pale ilipo ni Makoroboi? Dah! Kumbe licha ya kuzaliwa Mwanza bado sijaijua vzr
 
Back
Top Bottom