At least umefikili nje box,sasa kuna mtangazaji wa radio alikuwa anasisitiza kabisa sio mbayo mzazi kumfundisha mtoto kutumia kondom nilikuwa najiuliza ingekuwaje baba au mama yake angemfundisha kutumia kondom wakati yeye akiwa mdogo nafikili tuwe tunawaza before ya kuongea Kwenye media I'm not against Kondom lakini tuangalie na mazingira gani! Tamaduni zetu haziko huko bado.....
Hatuja fikia huko fikilia tu kwamba watoto hawafundishwi tendo la kujamiana lakini unakuta ana mimba au amempa mtoto wa watu. Hivyo wanajua zaidi ya tunavyo fikiria