Hii issue sijui kwanini hainiumi kihivyo, yaani naona sawa tu,Wananchi wa kondoa wamepatwa na ugonjwa wa ajabu wa kutapika na kuvimba tumbo na mwili kuwa wa njano na hili ni pigo jingine kwa wana dodoma
Sidhani kama ninae aiseeHauna ndugu wilayani kondoa?
Kwa nini usiulize mganga mkuu wa wilaya nani na watu wa afya badala yake unakimbilia kumtafuta mbunge...?Hivi mbunge wa kondoa ni nani jamani?
Hapo nani kaingiza siasa?tunaongelea majanga yanayo wapata wana dodoma ikiwepo njaa na sasa hilo gonjwaKwa nini usiulize mganga mkuu wa wilaya nani na watu wa afya badala yake unakimbilia kumtafuta mbunge...?
Hizi siasa zinatupeleka sehemu mbaya sana sijui huyo mbunge atakuja kugundua tatizo la wanakondoa.!!